Pole sana mdau !
Mimi naweza kukushauri pia machache !
1. Rudi kwa urologist wako mpe kinachoendelea anaweza kukubadilishia dawa na kukupa ushauri mzuri zaidi.
2. Kuhusu ilo tatizo jengine lenye jina gumu nenda hospitali kubwa kapata uchunguzi upya upate tiba sahihi.
3. Kwa urefu wako hizo...
Sahau kuhusu comment zote nenda kamuone Dr wa kinywa,koo na masikio utapata tiba
Hizi mbanga za kunyonyana Fanya kama hujaziona
Pole sana ,utapata tiba
Hello ,
Nauza Toyota porte Bei ni Milioni 5.5
Sio dalali ni mmiliki so tunaweza zungumza kidogo kwenye bei
Location : DSM Msongola
Colour : Silver
Engine size : 1450 cc
Reg : DES
Engine ,gear box,Ac vyote vizima
The Quran mentioned the seven layers of the atmosphere before this was known. "Surah 2:29" lakini huu ni uongo ukweli ni kua Kuna layer saba za atmosphere
Scientific facts za kubumba
Sayansi Gani ? Mambo wanayoeleza kuhusu Quran kuhusu namna mimba itungwavyo na ukuaji wa mimba viliezwa miaka mingi kabla ya Quran na kina Aristotle,Gallen na Hippocrates
Sema wao wanamezeshwa kua "KURAN" ilivielezea kabla ya wanasayansi na watu wengine kuelezea,Pure Lie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.