Recent content by Dume Lenu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wenye "high-mileage cars" tupeane uzoefu

    Mi Yakwangu Dualis ina kawaida ya ku vibrate pale napo kanyaga mafuta nikiwa na overtake gari iliyo mbele yangu. Msaada. Gari ya mwaka 2009 Km 85000
  2. D

    JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Magufuli kwa miaka mitano alitoa TZS 39bl Ujenzi wa Makao Makuu Dodoma. Rais Samia kwa mwaka mmoja ameidhinisha TZS 300bl

    Magufuli Forever in my heart. Ni rais ambae hata angenambia shika mtutu tukapigane vita na Adui yeyote anae tuzunguka mi ningekufa kwa ajili yake na nchi yangu. Ila sasa ule Moyo sina tena.
  3. D

    JamiiForums Tanzania JPM aliweza Live!,Je! SSH anaogopa nini?

    Magufuli alijua kutufariji sisi maskini.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM iweke wazi kama kuna mgao wa umeme. Haiwezekani kila siku umeme uwe unakatika kuanzia saa moja na kurudi saa tano

    Mnazalisha ma Injinia kila siku pale Mlimani Leo karne ya 21 bado mnalilia umeme. Vyuoni mnaenda kusomea nini...???
Back
Top Bottom