Recent content by DUME LA NGEDELE

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ziara za ACT - Wazalendo kutikisa nchi

    Sura za kiha zote hizo tupia sura za mikoa mingine
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mungano wa UKAWA - Kazi Imeanza

    Ukawa Mungu wasimamie zidi ya maccm na vibalaka vyao
  3. D

    JamiiForums Tanzania Abiria Wafanya uharibifu Treni Mpya (Delux)

    Watu wa kigoma ni wehu sana nipo mkoa wao unatakiwa uwe na roho ngumu kuishi nao.na wao usafiri wao mkubwa ni treni bila treni hawasafiri na treni likifika nguruka,uvinza,kazulamimba hadi kigoma town litapigwa mawe kama limewakosea vile sasa ole wako uache dirisha wazi lazima wakuumize kwa mawe...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya ziara ya ACT Wazalendo, ziara ya kufyeka msitu

    Huko mnakoenda kufanya mikutano yenu watawanyea maana kama songe,iringa,njombe ni ngome za chadema na zitto huko tangu yupo chadema hana ushawishi ktk mikoa hiyo
  5. D

    JamiiForums Tanzania Treni ya kisasa (Delux), kwenda Bara yenye mabehewa 22 imeanza safari kwenda Kigoma

    Chezea waha wewe wamealibu tayali lock ya kitanda kimoja na jana mitaa ya uvinza limerushiwa mawe
  6. D

    JamiiForums Tanzania Waliomaliza "Mikumi Secondary" Tujuane Hapa

    Vp na wewe ulimaliza pale maana wanafunzi wa mikumi wengi walikuwa vilaza sana vp wewe uliponaga kupata zero
  7. D

    JamiiForums Tanzania Zitto Akiri Bado Anaipenda CHADEMA Japo Wamemfukuza

    Anapotezwa na wazee wa mwandika wanaomtumia zitto kuendesha maisha
  8. D

    JamiiForums Tanzania ZITTO KABWE Ulimi umeteleza ama? Kuanzisha chama ukiwa ndani ya Chadema ni Uhaini!

    Huyo ndio kijana kutoka mwandiga mpenda vyeo
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tamko la mali na madeni ya Zitto Kabwe wa chama cha ACT Wazalendo

    Kadanganyaaaa huyoo
  10. D

    JamiiForums Tanzania ACT-Tanzania yapitisha Katiba (Soma Katiba ya ACT hapa)

    Msada wenu wakuu
  11. D

    JamiiForums Tanzania ACT-Tanzania yapitisha Katiba (Soma Katiba ya ACT hapa)

    Wakuu kwanza mimi mgeni ktk jukwaa hili.naomba msada wa katiba ya chama cha ACT tanzania maana nipo huku kigoma nimejalibu kumwomba katibu mwenezi mkoa anaitwa juma ananiletea story tu na anakuwa na kigugumizi atoe jibu.msada wenu waku pia na mali alizosema kiongozi mkuu wa cha ataziweka wazi...
Back
Top Bottom