Katika sehemu zinazofanyika wizi mkubwa kwa wateja ni kwenye vituo vya mafuta, kuna muda unaona hivi hivi unaibiwa ila ama unaamua kuepusha shari ama unapotezea.
Zipo sehemu zenye wafanyakazi waadilifu lakini sehemu nyingi wizi umeshamiri kupita kiasi, mbaya zaidi ukiibiwa wewe ukisema pale...
Habari
Nina Corolla XE 111 ambayo ipo sawa safari popote na haijawahi kuniweka njiani nashukuru katika safari zangu za Tanga to Dar.
Hii ina 4E engine Cc 1330.
Nataka walau kusogea sogea kidogo hivyo kuna jamaa ana Funcargo tumeafikiana nimuongeze na M1 ila bado sijafanya maamuzi nikaona nije...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.