Recent content by Dumburi

  1. D

    UKAWA wahamasishana kujitokeza kwa wingi Polisi kumuona Lissu

    kama kakamatwa kiutaratibu na tunajua atahojiwa then apelekwe mahakamani ... sisi twaenda kufanya nini ... kushindana na jeshi la polisi ama kuvamia kituo cha polisi ama kumtorosha hapo kituoni ama tunaenda kwa impact zipi kwa mfano... TUACHE SHERIA ZIFANYE KAZI ZAKE ... MIMI BINAFSI NAPENDA...
  2. D

    Sanamu la mungu Mwezi (Luna) Laokotwa chini ya Bahari

    Jamani kama kuna uwezekano tupate vithibiti ili kuja kua ukweli uko wapi.
  3. D

    Mume wangu anachepuka

    Usikimbie nyumba yako hata kama bado hamjafunga ndoa jaribu kukaa na mwenzako muongee na pia jaribu kukumbuka ibada kila siku maombi yako yaelekeze kwa mungu atabadilika na mtaishi tu kwa Amani.usichoke omba kila siku usikimbie matatizo tafuta suluhu. PIA UMRI NDIO UNASABABISHA HAYO. ATAKUA NA...
Back
Top Bottom