Recent content by dumbu

  1. dumbu

    Shamba la eka moja na zaidi linahitajika

    Unataka liwe na umbali gani toka barabarani!?
  2. dumbu

    Mchanganuo wa kujenga nyumba ya vyumba vitatu na sebule

    Msaada wana jf Mwenye ramani ya Nyumba yenye 1master b/room,2 rooms,toilets ,dinning room,sitting room,kitchen,packing &two verandor .iwe na vipimo
  3. dumbu

    Mzamiaji aliyeingia nchini bila kibali hukumu yake ni nini?

    Mzamiaji aliyeingia nchini bila kibali hukumu yake ni nini?je anapigwa faini na kuachiwa?
  4. dumbu

    Msaada king'amuzi cha azam

    Inasumbua sana kichwa yangu
  5. dumbu

    Msaada king'amuzi cha azam

    Piga *150*50*5#
  6. dumbu

    Msaada king'amuzi cha azam

    Zinacheza 20%-75% hazitulii
  7. dumbu

    Msaada king'amuzi cha azam

    Hapo nashindwa kuelewa kwa kweli
  8. dumbu

    Msaada king'amuzi cha azam

    Nimefanya hivo kaka lakini wapi nikajaribu kumwita Fundi wa kitaa kashindwa anadai mnara wa halotel umeingilia frequency za channel za bongo
  9. dumbu

    Msaada king'amuzi cha azam

    Yah zingine fresh kasoro za ndani ya Tanzania
  10. dumbu

    Msaada king'amuzi cha azam

    king'amuzi changu kimefuta channel za ndani mfno,ITV,clouds,eatv etc mwenye kujua jinsi ya kuzirudisha please
  11. dumbu

    Unataka product huzi za nje kwa bei nafuu, nusu ya zinavyouzwa bongo

    Weka contacts mkuu habari za Pm ndo nn
  12. dumbu

    Nahitaji kujua ubora wa MAZDA RX-8 mwenye kufahamu kuhusu hii chombo

    Gar inamuonekano mzuri sana ila machine yake sasa haidumu
  13. dumbu

    Kiwanja kinauzwa Kiluvya

    Duuuh chako kipo mbali sana
  14. dumbu

    Plot for sale

    Nauza kiwanja miguu 20×20 kwa 6,000,000 tsh .eneo lipo kiluvya kwa Komba km 4 kutoka barabara ya morogoro
  15. dumbu

    Kiwanja kinauzwa Kiluvya

    Nauza kiwanja miguu 20×20 ,kwa 6,000,000tsh .eneo lipo kiluvya kwa Komba km 4 from morogoro road#0744639217#
Back
Top Bottom