Sio kwa manji tu kuna kampuni fulani mimi nilikua nafanya kazi siku wakija uhamiaji ofisini tunabaki wa5tu wengine wanakimbia sasa ilisakata waangalie na kampuni zingine
Ninao uzoefu wa mda mlefu. na udereva wangu pia nilichukua mafunzo katika chuo cha veta. pia nimewai fanya kazi sehem kama 5 yani kampuni pia ni mwenyeji wa dar na nina uzoefu zaid ya miaka 10...Namba zangu 0673239061/ 0621839904.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.