Recent content by Dubidu

  1. D

    AXIS OF EVIL: TANESCO/Mkono Advocates/Rex Attorneys/IPTL/Richmond/Dowans

    Mhe. Ngeleja ni vema utakuambia pesa zote ulizopata na zinakutia kiwewe cha mpaka kuanza kuutamani uraisi utabisha kuwa hii ni moja ya mgao uliopata mpaka ukapagwa ukaanza kununua nyumba za vimada wako, umejenga jumba kubwa mtaa wa ugunja Mwanza karibu na hospitali ya Dk. Kironzo na sasa unapita...
  2. D

    Nani anafaa kuwa raisi 2015?

    Wana Jamvi, Naomba ushauri wenu. Nani anafaa kuwa raisi wa 2015 kati ya hawa wafuatao?? CDM: Dr. Slaa, Mbowe na Zitto? CCM: Lowassa, Magufuli, Membe na Dr. Asha Rose Migiro au Mkapa? Tafadhali toa mawazo yako kwa mpangilio wa nani anafaa na nani anafuata kwa kila kundi
  3. D

    Hilary Aeshi apokelewa Bungeni kama shujaa

    Ni mbunge wao wote kesi imekwisha kazi ni kuwatumikia wananchi wa Sumbawanga
  4. D

    Dk. Chegeni ampinga Nape suala la urais kupitia CCM

    Chegeni umegonga penyewe. Busega tunajua hukusjindwa bali ulichakachuliwa na huyo daktari Wa Wasir yaani nyara za serkali. 2015 huna mpinzani sisi wanabusega tunakuhitaji kwa kazi yako. Visima vya maji ni Chegeni ulileta, sekondari zaidi ya 21 uliwezesha, vituo vya afya, mabweni ya shule nk...
  5. D

    Dr. Batilda Amsalimia Mhe. Ruto "Shikamoo"

    Ni kawaida dada kumwamkia kaka hujui Jubilee ni sehemu ya CCM?
  6. D

    Kila mtu wa Kagera anayetofautiana na serikali huitwa mhaini, mchochezi mhamiaji haramu!

    Ni kawaida kwa wahaya na bado! You know problem ya wahaya hawana haya hata wakipewa nafasi wanarudikana wao tu kama walivyo watu wa Pwani. Licha ya Kawambwa kushindwa kila wizara lakini ndo kinara wa kuhamishwa wizara moja kwenda ingine na sasa hivi nasikia anahamia Wizara ya Fedha!
  7. D

    Kutekwa kwa Kibanda - Dk. CHEGENI aviishukia vyombo vya USALAMA

    Tuagize Fbi waje tena watupe mchoro wa picha ya watesaji wa Kibanda?
  8. D

    Kutekwa kwa Kibanda - Dk. CHEGENI aviishukia vyombo vya USALAMA

    Nadhani suala si kukemea bali tahadhali ya usalama wa raia na amani izingatiwe kwa raia wote bila kujali nani ni nani. inatia uchungu sijui km sngelikuwa mwanafamilia wa ikulu ingekuwaje?
  9. D

    CCM hati hati Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Tabora 2015

    Katika hali isyokuwa ya kawaida, baadhi ya wananchi wa mikoa hii wameonyesha dhairi kuwa CCM itapoteza viti vingi sana mikoa ya Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Tabora (Sukuma land) kutokana na serikali iliyopo madarakani kuwapuuza na kuwabeza wananchi na viongozi wa mikoa hii. Kwa kweli...
  10. D

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Ni Lowasa au Magufuli 2015 hakuna mjadala zaidi kwa CCM kwa sasa vinginevyo CCM itakatika mapande! Baadhi ya wadau wa kutoka kanda mbalimbali na hasa kanda ya ziwa wamesema wazi wazi baada ya kuona mizengwe na mikakati ya kutoswa kwa wadau wote wa Edward na yeye mwenyewe kwenye CC na pia baadhi...
  11. D

    Magufuli ampiku Lowasa urais 2015

    Msafara wa Magufuli waacha gumzo Wajameni ndo kusema watu wa kanda ya ziwa wanamthamini mtu huyu kwa nafasi ya juu kabisa (Urais) hata kabla ya uchaguzi 2015? Story nzima hapa chini, kazi twende! MSAFARA wa Waziri wa Ujenzi, John Mgaufuli umeacha maswali jijini Mwanza baada ya kuwa na magari...
  12. D

    Mwigulu Nchemba: Ninayo VIDEO ya Viongozi CHADEMA wakipanga mikakati ya mauaji nchini...

    Jamani mnajua kuwa huyu Mwigulu ni mtoto wa mwenye kaya? Kama unataka kujua zaidi mie niko na story yote kweupe! Ziara za chama kijijini kwao ndo msingi wa kijana huyu kupatikana! Vuteni pumzi wana JF!
  13. D

    Mafuru resigns from NBC

    HOngera Mafuru! Tatizo la waTz hatuthamini weledi wa vijana kama huyu. I have the clues that you are moving to CHC once again, its a bit complicated corporation with ****** in the board and the management team so take time to understudy it and you ll know your way forward.
  14. D

    Hatimaye majina ya walioficha pesa Uswisi yaanza kutoka taratibu!

    Ni vema wale wote walioficha mapesa hayo tukawajua na siyo porojo tu
Back
Top Bottom