Recent content by dsibora

  1. D

    JamiiForums Tanzania Anataka kuitoa!

    hiyo noma lakini hujasema kama mshikaji kaoa au vipi,kama ana mke tayari hiyo noma namshauri amueleze mkewe ukweli kama anae halafu aende akatubu kwa mwenyezi Mungu,amshauri huyu baa medi nae amrudie mwenyezi Mungu azae jamaa alee kiumbe,kama hajaoa hiyo bahati achukue aweke ndani lakini afunge...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ni lugha gani ipewe kipaumbele Tanzania kati ya kiswahili na kiingereza

    maoni mazuri,lakini mie nadhani hao unaowasema waliweka misingi tangu awali sie tunazungumzia wakati huu ambao maendeeo yetu yanahitaji mahusiano zaidi na mataifa mengine mfano katika elimu ni machapisho mangapi yaliyo katika kiswahil,tatizo hapa ni kubaki kuwa ndumila kuwili huku tunasema...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ni lugha gani ipewe kipaumbele Tanzania kati ya kiswahili na kiingereza

    Ndungu wanajamii. mie bado sijaelewa sera yetu ya elimu kuhusu utumiaji wa lugha mbili za kiswahili na kiingereza hivi kwa changamoto za dunia ya leo,za utandawazi na soko huria ni lugha gani itatusaidia kuandaa jamii itakayokuwa tayari kuzikabili?
Back
Top Bottom