Akiachane Naye ukimwi ndo utakuwa umeisha anajuaje huyoo mwingne atakaye mpata kama hatakuwa nao
Maambukizi ya virus vya ukimwi ni siri nzito sana ambayo tulipandikiziwa na wazungu ili tuuogope sana lakn tujue kwa muda tuliofikia
Hakuna Mtanzania ambaye hana tatizo hili kama wew hauna bas mdogo...
Kwanza nikutoe hofu
Ukiwa na maambukizi au ndugu yako akiwa na maambukiz sio ndo Muda wa kuishi ni mfupi hapana
Pia ukiwa na mwenza wako ana maambukizi sio uogope kuwa utaambuzwa Hapan akitumia dawa vizur na wingi wa vizur utashuka hvy Hawezi kukuambukiza
Kwanza nimpongeze shemej kwa kutokata...
Mada hii nakumbuka lisu alisema viongozi wapo tiar waue mwanadamu mwenzake anaya mwalibia kwenye uchaguzi lengo aje apige mahela yao.
Gwajima aliona sadaka hazitoshi aende bungeni daah bas tu ndo tushazaliwa kwenye nchi hii maisha yatasonga tu
Aiseee ni kwel haya mambo usipotumia Muda kidgo utapigwa badae uanze kujua
Kuna watu wanajiita SAORE co watu wazuri kabsa matapeli tu na serikali inawacheki
Wanakuja kukushawishi vizur ukijua ushatoka kimaisha utakavyokuja kupigwa hutoamin
Kama **** mwanainch anataman afuge sungura tafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.