Habari wanajukwaa! Mimi naamini mapenzi ya kweli hutakiwi kutumia nguvu nyingi kuyapata, ila pia naamini mapenzi ya kweli ni kupata wa kufanana nae ili usiwe unajieleza sana kwake. Kwa umri wangu huu wa makamo bado natafuta mtu wa namna hiyo. Mtu ambae tunaendana, na ni sawa kwangu kama...
Kitendo cha kuanza kugundua tu kuwa mwenendo wako sio mzuri ni mwanzo mzuri. Ila pili jaribu kumshirikisha rafiki yako wa karibu(rafiki anayekupa makavu live), ambae anaweza kuwa anakushauri unapotaka kufanya maamuzi yasiyo na faida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.