Mimi binafsi sioni shida yoyote mtu kuishi maisha yake ya asili lakini sisi tuliokataa asili zetu na kubadilika kujiona tupo civilized ndo tunapaswa kuona aibu kwa kung'ang'ania mila za watu weupe.
Watu wanaoishi maisha kama hayo Duniani hawapo Tanzania tu wapo nchi nyingi hata huko West wapo...
What are you saying?
Maana haueleweki unatafuta utofauti au kitu gani kwa sababu kipindi unachozungumzia watu walikufa ni kweli na kipindi hiki watu wanakufa.
Kuna watu wanapenda ubishi bila kuelewa.
Mtoa mada kaelezea vizuri kile alichokiona na kukifanyia utafiti na bado watu wanabisha bila tafiti yoyote lakini ukweli ni kwamba katika hii nchi yetu hakuna kabila lenye idadi kubwa ya watu kama wasukuma(ukibisha wewe bisha tu) ukiachana na kusambaa...
Inawezakana wanatunzwa vizuri lakini sisi wenye mama zetu wanyakyusa tunawajua ni watata na wanapenda kujishughulisha ata kama anapata kila kitu na ukimforce aache shughuli zake atakwambia usiletee tena vipesa vyako yaan wana jeuri sijui ya dunia gani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.