Tofali za Kuchoma Zinadumu Muda Mrefu na no Bora.Zingatia Mahali zonapotoka,Siyo kila udongo mwekundu utatoa Tofali imara.Kipimo chepesi cha Tofali liangushe Chini toka umbali wa Mita 2 toka usawa wa Ardhi,kama Lina ubora halivunjiki.Kipimo kingine angalia Katika Mkoa zipo Tofali kama Miradi ya...
Uzi Murua Sana.Nimeishi Maisha ya kuwa Mpangaji na ya kuwa mwenyenyumba.
1.Mwenye Nyumba kuwa ndani ya Fensi moja na Wapangaji inaondoa utulivu Kwa pande zote:Kama kiwanja kinaruhusu weka ukuta kutenganisha.
2.Kuna Maeneo Hakikisha Una Mkataba wa maandishi kuepusha sintofahamu,ikiwezekana na...
Karibu kuqualify unachohitaji.Kama ni AirBnB Siyo kila sehemu kuna wateja.Wateja wa AirBnB Kwa Dar hawapendi Zaidi ya Mwenge,wakianzia Posta,kuja Upanga,Msasani Peninsula,Mikocheni,Kawe beach.Huko kwingine wanadhani ni porini.Jikadirie Sinza...
Weka Ramani iwe rahisi Kukadria...Lakini pia Kanda ya Ziwa ni Pana Sana:Kina cha Msingi zinategemea Aina ya Udongo,Musoma,Bunda,Magu,Mwanza,Geita,Bukoba,Ukerewe Kote ni Kanda ya Ziwa.Ungekuwa Geita au Katoro trip 1 inajenga Mita 8 Hadi 10.Tafuta mzingo kisha zidisha Kwa 8 Utapata idadi ya trip.
Hongera Kwa Kazi nzuri.Naomba hesabu ya Pharmacy Kwa Mbele kama ifuatavyo.
1.Urefu unaotazama Barabara ni meta 5
2.Upana ni meta 3
Pana Mlango wa meta 1 unaotengq Chumba cha Mbele na Store
Store ina urefu meta 5 na Upana meta 2
Kimo ni Futi 10
Toa maelezo Zaidi
Kiwanja kimekaaje?Eneo Linapozama Barabara ni meta ngapi?
Kiwanja kipo Eneo lenye uchangamfu wa Biashara Kiasi gani?Frame za Majirani zina Ukubwa gani??Barabara ni Pana Kiasi gani?Haya ndiyo yatakusaidia kuamua Ukubwa wa Vyumba.Hata hivyo Kariakoo size zipo Hadi...
Huu mti uliota Shambani kwangu, Miaka 6 iliyopita.Mke wangu alikuwa anasimamia Ujenzi akataka Kukata, nikamwambia auache. Mwaka Jana ukatoa Maua mazuri lakini Yana harufu isiyovutia.
Punde Majirani wakawa wanaambiana Kwa Siri kwamba Kwangu Siyo Mahali pa mchezo, Pana ulinzi mkali. Nikachunguza...
Ulio Nyuma ya picha utakuwa Ficus religious (Ipo Asia hasa India).Mrumba unaitwa Kisayansi Fucus natalensis na ndiyo mingi IPO kuanzia Natal province Kule SA Hadi Kenya na Uganda,ndiyo inaitwa Mtoma Kule Bukoba Hadi Uganda.Mikoa ya Geita,Kagera na Kigoma magome Yake hutengeneza Mashuka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.