Recent content by Drug-Czar

  1. D

    Chief Kiumbe agawa Rushwa Tsh. 3 million Taslim UDSM. 12 Wafaidi..!

    Muhongo sijui kwa nini ameng'ang'ania uwaziri kiasi hiki. sijui Rais akimfukuza itakuwaje?
  2. D

    Chief Kiumbe agawa Rushwa Tsh. 3 million Taslim UDSM. 12 Wafaidi..!

    Katika hali ya kushangaza, mtu mmoja aitwaye Chief Kiumbe aliwaomba wanafunzi wa UDSM wanaotoka kanda ya Ziwe (Ukerewe, Ujita na Musoma) kupitia kijana anayeitwa Nyangabi Maira, mwaka wa tatu, wakutane naye katika moja ya kumbi za starehe Sinza jumatano iliyopita. Baada ya kukutana na hawa...
  3. D

    Muhongo Na Maswi Wachunguzwe na Kukamatwa Mara Moja

    Kati hali ya kushangaza, hawa viongozi wa zamani wa wizara ya nishati na madini wanagawa fedha nyingi tena mamilioni ili watetewe kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Nikiwa mmoja wa watu ambao wameshawishiwa nafedha nyingi, nathibitsha kwamba hawa watu bila kuwakamata, nchi...
  4. D

    Maswi: Siwezi Kuwa Mbuzi Wa Kafara. Wezi Wakuu Wajitayarishie Kihama !

    Ni muda tumetoka kumlaki rais Kikwete pale JKIA. Katibu mkuu wizara ya nishati na madini, Eliakim Maswi, alijiamini vya kutosha kwamba hakuna atakalofanywa na ndio maana alikuja kumuunga mkono Mh. Rais, na ikitokea kufukuzwa, basi hakuna atakayesalimika. Wezi wakuu ambao hawajatajwa nao lazima...
  5. D

    CCM Imejimaliza Rasmi na IPTL-ESCROW

    Rais Jakaya Kikwete amekuiwa rasmi Chama Cha CCM kutokana na tabia yake ya kukumbatia wezi kama wakina Muhongo Mrema na Maswi. Hii kashfa imeiacha CCM uchi. Hakuna mwananchi mwenye akili timamu atakeyeipigia tena kura CCM. Vyombo vya usalma navyo vimechoka. Wazalendo ndani ya hizi taasisi...
  6. D

    Misaada Imuezuiliwa, Sasa ni viongozi Kuzuiliwa

    Kutokana na aibu inayoendelea ya IPTL na Escrow, Nchi wahisani wameamua kuzuilia misaada kwa Tanzania. Na ingawa kuna ushahidiwa kutosha kwamba fedha za umma zimechotwa na mafisadi, viongozi waandamizi wamegoma kujiuzulu na chama chao CCM kikiwakingia kifua. Ni swala la fedhea kusema kweli...
  7. D

    Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

    Kucheka na CCM ni sawa na kucheka na Nyani aisee.....Hawa Jamaa dawa ni kuwatimua kabisa kwenye sanduku la kura.
  8. D

    Prof. Muhongo: Sijiuzulu sakata la Escrow vinginevyo ardhi ya Tanzania itatikisika

    Katika kikao cha ndani ya CCM, Waziri wa nishati Sospeter Muhongo amesema bayana kwamba hatishwi na wabaishwaji na kamwe hawezi kujiuzulu kutokana na chuki za mafisadi wanapigania vitalu vya gesi na kama atalazimika kujiuzulu siyo tu bunge litayumba, bali ardhi ya Tanzania itatikisika, kwa...
  9. D

    Mahakama yaingilia Bunge kuzuia suala la Escrow lisijadiliwe!

    Jaji othman utalaaniwa hadi na vitukuu vyako
  10. D

    ACT yaunga mkono muungano wa UKAWA; wawamwagia sifa, watoa tahadhari

    Jihadharini na hikli kirusi cha Ukawa wanatanzania
  11. D

    Zitto Kabwe awabeza UKAWA na kuwaita "Wasaka Tonge"

    Pnde Zitto Kabwe atafika Kuchanganyikiwa !
  12. D

    Kikwete yuko Vietnam

    JK kachanganyikiwa aisee
  13. D

    Utafiti: Wanachama wengi wa CHADEMA ni watu waliokata tamaa ya maisha

    Msijidanganye. Wananchi wamechka sasa hivi na mambo ya CCM. Sisi tusio upande wowte tunalijua hilo
Back
Top Bottom