Recent content by Dronephonex

  1. Dronephonex

    JamiiForums Tanzania Vijana tukajiajiri afu tunalala selo

    Unaongea usichojua, we ulinikuta kwenye mlango wa duka au unaropoka tu. Nawe kama umeajiliwa nyamaza
  2. Dronephonex

    JamiiForums Tanzania Vijana tukajiajiri afu tunalala selo

    “NIKAE KUWA MWIZI? NIMEJARIBU KUJIAJIRI, LAKINI BADO NAKAMATWA NA JIJI!” — KIJANA ALALAMIKIA KUKAMATWA KWA KUFANYA BIASHARA Kijana mmoja ameeleza masikitiko yake baada ya kukamatwa na askari wa Jiji kwa madai ya kufanya biashara, akisema amekuwa akijitahidi kujitafutia riziki kwa njia halali...
Back
Top Bottom