It's to late for lockdown. Walitakiwa pale walipogundua chimbuko wangeanza kubana hizo sehemu kwanza..mfano dar na arusha kutokana na kuwa wagonjwa wa mwanzo waligundulika huko.wangezuia ussfori wa aina yeyote in and out of those regions.
Its just poor thinking.
Mkuu nina shaka kuwa wanaume wengi tanzania wako kama huyu jamaa PASKALI (wanafikii,ndumilakuwili ,waogaa). Au ni vile wale majasiri wamekosa nafasi yakujulikana..
Sisi tulioko sayari nyingine tunawachoraa tuu na ku take notes.
Kaka nakujibu wewe kwa sababu wachangiaji wote wame miss the point.
Ni hivi hebu soma hio point ya mwisho ya pride. Eti kuna watu walikopa $m 20 za kwenda kufungua kiwanda cha saruji lindi.
NAONA YOTE HAYO MENGINE NI SINEMA TUU.ujumbe ndo huo wa kiwanda cha saruji lindi. ...
Mwenye akili...
Lumumba akili zenu matopee sanaa..
Yani kwa akili zenu mnafikiri mmarekani anakiu ya hizo dhahabu sana kama vile hazipatikani kwingineko duniani.
Mmejawaa na akili za kishambaa na kijamaa kama huyo mwenyekiti wenu.
Dunia ya sasa is about technology thats how you get ahead,sio mambo eti madini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.