Nangojea majibu ya hii kitu, mimi niko na Subaru Forestet 2008, tangu nije Dar inakula 6.8 - 7.2 km/L. Hizi foleni zinachangia huu ulaji?
Ila nikiwa Moshi inafika mpaka 10.5 km/L
Mimi nna uzoefu na zote!!
Subaru nmetumia ya 2008 Forester, iko vzuri sana na confortability iko juu kuliko Kluger, na nmeitumia kwa root za Dar to Moshi kila mwisho wa mwaka!! 14KM/L
Ila kwa kazi chukua kluger maana utapata unafuu kwenye spares na service!
Forester usipoweka Synthetic...
Kama mjasiriamali na mtaalamu wa huu ujuzi wa usindikaji wa vyakula, kwa miaka takribani kumi nimewasaidia watengenezaji wa wine na pombe kali kwa kuwapa formula kamili na rahisi za kutengeneza wine na pombe kali!
Utapata formula ya kutengeneza wine kwa kutumia matunda mbalimbali: Ndizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.