Recent content by drgeorge

  1. D

    JamiiForums Tanzania Dr. A. Paurine: Majibu kwa Chris Lukosi na propaganda zake dhidi ya CHADEMA

    Ukimjua mtu hata kuelewa hoja zake na kuzijibu inakuwa rahisi sana. Kwa wale wanasaikolojia, ni kwamba kuna wagonjwa wa akili wengi tu mtaani na watu hawawatambui kama ni wagonjwa na wanasumbua watu kweli....
  2. D

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa aporomosha matusi kuhusu suala la njama la kumuua Zitto

    Unajua hawa akina Shonza na waandishi wao wooote ni njaa tu. CCM imefika mwisho inaendelea kufa.... kwa hiyo suala la kuwa na chama kikingine kitakachoshika dola haliepukiki...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa aporomosha matusi kuhusu suala la njama la kumuua Zitto

    yaani macho yako yapo kushoto kweli,
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kawe: Vurugu zaibuka, Wananchi wavamia kituo cha Polisi! Mabomu yarindima

    ukikosa elimu ustaarabu utaupataje? wengine wanadhani wakiwa wanajeshi au wakiwa na vyeo basi wao ni bora kuliko wengine
  5. D

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Muhimbili: This is unprofessional....!

    Pole sana mkuu. Ukweli mgonjwa kutumika kufundishia si swala baya ila kuwepo na ruhusa ya mgonjwa. Na kwa uzoefu wangu mara nyingi mgonjwa huombwa kwa mdomo na hakuna form yoyote, na akikataa haitakiwi kumlazimisha. Na kama hakuombwa si sawa ila mgonjwa ana haki ya kusema No. Kingine ni...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Sijuia nina mtazamo tofauti. Binafsi niwatake tuone kuwa haya yote yanatokea ili kuwathibitishia wale ambao bado hawaamini kuwa JK ni dhaifu na CCM ni puuzi. Naelewa adha na shida kubwa ya kijamii na hata kiuchumi kwa matokeo haya. Ila pia thisi is 'eye opener' na hili Jeshi kubwa lililofeli ni...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Watafute tu mtu yeyote awaandikie maana wanaweza aibika hapa bure
  8. D

    JamiiForums Tanzania Je unajisikia furaha, amani na kuwa salama kwa tanzania kuchimba madini ya uranium?

    Moderator help to put it in a voting
  9. D

    JamiiForums Tanzania Je unajisikia furaha, amani na kuwa salama kwa tanzania kuchimba madini ya uranium?

    Je Unajisikia furaha, amani na kuwa salama kwa Tanzania kuchimba madini ya Uranium? Naomba tupige kura, voting please Moderator may you help to put a vote here, thank you
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Unashangaa nini hapo?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye na John Mnyika yupi mwanasisa bora kwa 2012?

    Wengi mnadhani anaaibishwa Nape ila mimi naona tunamwaibisha Mnyika kwa kumlinganisha na Nape. Nape labda mumlinganishe sijui na diwani mmojwapo wa CUF
  12. D

    JamiiForums Tanzania Baraza la madaktari tanganyika lajiabisha

    SERIKALI IMEWATENDEA MADAKTARI NDIVYO SIVYO: AIBU Tanzania ni nchi yangu na mimi nimtanzania. Nina mengi moyoni siku ya leo hasa kutokana na timbwilitimbwilinyingi zinazofanywa na watawala wetu au vyombo mbalimbali hapa nchini.Mnamo tarehe 23 mwezi Juni 2012Tanzania iligubikwa na mgomo mkubwa...
  13. D

  14. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa aanza kueleweka, atoa agizo kwa wananchi...

    Hivi TBC na waandishi wake wanapomuita Lowassa "waziri mkuu mstaafu" ni wazimu au ni utumwa? Maana hata wewe mwandishi wa TBC unapomwita hivyo unajisikiaje? Mnakera kweli!
  15. D

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na wahariri; asema madai ya walimu hayatekelezeki!

    inawezekana anajua maamuzi ya mahakama, Mahakama siku hizi ni kichaka cha serikali
Back
Top Bottom