Recent content by dreamchaser94

  1. dreamchaser94

    Natafuta Shule za Olevel Boarding za Wasichana zilizochini ya Lutheran church (KKKT)

    Habari wana JF...... Naomba msaada wa Majina ya Shule za Wasichana za Boarding zilizo chini au kusimamiwa na KKKT na Mawasiliano yao kama yapo itakuwa vyema........ Shule ambazo zipo Dar wa Salaam, Morogoro, Pwani na Moshi Ahsanteni
  2. dreamchaser94

    Mini Hair Dryer na Pasi ndogo za Nywele

    Karibu upate Mini Hair Dryer kwa kukaushia nywele zako na Pasi Ndogo kwa Kunyooshea nywele zako.... Bei ya Dryer moja ni Tsh 20,000 na Bei ya Pasi moja ni Tsh. 160,000 Kwa wateja wa DSM ni Free Delivery kwa wa mikoani utatumiwa kwa Basi.... Tupo Mbezi ya Kimara na Kimara Baruti_DSM...
  3. dreamchaser94

    INAUZWA Kitanda cha chuma na Godoro lake la inch 8 vyote ni 5×6

    Wasiliana nami kama unahitaji Mali hizi kwa namba muda wowote.... or WhatsApp 0652576717 1.Kitanda Full chuma + Godoro full nyama (inch 8) Vyote Size ni 5×6 Tsh 390,000 vyote kwa pamoja, vinauzwa vyote kwa pamoja 2.Meza ya kioo ya kuweka kwa sebule yenye upana wake na quality ya...
  4. dreamchaser94

    Photocopy machine for sale

    Ipo mkoa gani mi nahitaji ila nipo Dar
  5. dreamchaser94

    Photocopy machine for sale

    Bei imekaa vipi hiyo Boss
  6. dreamchaser94

    PHOTOCOPY MACHINE kwa Dar es Salaam

    Habari wana Jf, Kwa yeyote mwenye kuuza, kama kuna mtu unamfahamu anauza au kuna sehemu kwa hapa DSM wanauza Photo Machine zile kubwa kuanzia namba 2025 na kuendelea zile kubwa za Stationary kwa bei isiyozidi Tshs. 800,000 naomba kujulishwa. Ahsante
  7. dreamchaser94

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    nataka nifanye kitu tofauti na kulima Boss, nataka kujaribu biashara tofauti na hiyo. Hapo kwa kuku wa mayai ngoja nipaangalie vizuri
  8. dreamchaser94

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Daaah poa poa nimekuelewa ngoja nipambanue akili kwanza apa
  9. dreamchaser94

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Juisi za mfumo gani Boss,,ama juisi xa miwa
Back
Top Bottom