Kwa tunaofahamu richmond ilikuwa nini Slaa hakuwa sahihi kwa hili na ndio maana hakuna hatua yeyote iliyochukuliwa na Dpp kwa hicho mnachokiita wizi wa richmond ambao b4 hamkusubutu kufungua vinywa vyenu kuuzungumzia.,istoshe mkwere in campaign 2010 alipokuwa Monduli alishasema jamaa ni mtu...
Yaani ingekuwa kwa nchi zilizoendelea kilichotokea Jangwani leo kilikuwa kinatosha kukiweka nje ya system chama cha kijani...
Ila kwa sababu tupo Afrika inabidi nguvu itumike kisaikolojia na physically coz tuna watu wengi bado hawana uwezo wa kupambanua mambo.....
Lakini hatamu tutaishika maana...
Atulie muda wa uchungu umewadia lazima ajifungue vinginevyo afe na mtoto tumboni.......
Hii kitu inaonekana Fetou Bensoudah wenzie watatuamua muda c mrefu!!!
Coz kuna dalili za watu kung'ang'ania Magogoni.,
Lakini ccc(UKAWA) this time ni habari nyingine.,
Jamani kinachodhihilika toka jangwani ni kwamba kumbe tunaongozwa na genge la wahuni.,
Now ni wakati wa kusema no kwao.,
Vilaza wakubwa wamezoea kuishi kwa mazoea yaani style ni ile ile toka 95,nilidhani hata kipindi wanakuja kivingine kumbe ni yaleyale ya kutuletea wasanii majukwaani...
Sure!
What you have said is clearly true.,
Huyu mzee anamalizia maisha hatuwezi kumhamishia kwetu still tuchek na kuwakabili wehu wanaotaka kujumuika kutuibia kama akina Humphley,Drank Ridh na Dc Kinoklyn etc.....
Hawa ndo wabaya wenyewe!
"Aruta continua"
Wakati unaizuia akiri yangu kusikiliza majungu.,
Huu ni wakati maono yananihitaji kusikia sera za mwanasiasa si upuuzi wa kitoto!!!
Nimezima tv na redio ninajisomea novel.....
Nasubiri Oct25 nikatoe hukumu tu ili hawa manyang'au warudishe mali zangu nilizopendelewa na Mungu ktk uumbaji.
Broh naongezea hapo!
Ticha tambua dunia nzima mshahara wa physician pale hospital na nyie haulingani........
Sema ni kweli mko down sana.......
Cha msingi ni kubadiri green kuwa red that's all.,tupo pamoja!
Hali si hali huko chama cha kijani maana kila kukicha wanakuja propaganda mpya!
Kama ENL alikuwa peke yake wamemuundia kamati ya watu 32 sasa kaongezeka FTS kamati itakuaje?
Ama kweli hii movie inayoendelea adui green label sijui suruba yake Oct25.,
Sure broh.,
This time team mabadiliko tunatakiwa kufanya kampeini kimkakati na kwa umakini mkubwa ili kueleweka ipasavyo na kuwawezesha waTz kufanya maamuzi sahihi.,
Amani na njaa ni maadui wakubwa.....,
This is according to the laws of nature!
Lolote litakalotokea baada ya October 25 ndilo litakalotupa picha ya mustakabali wa taifa hili.....
Dont argue coz hakuna aliyekutuma umuwasilishie maoni yake.
Let's see.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.