Recent content by Drazz

  1. D

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

    Yakikushinda Karibu tulisukume gurudumu 😊
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ni rapa gani alikufanya uanze kusikiliza mziki wa HIP-HOP?

    Harmorapa
  3. D

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Ufugaji wa mbuzi kwa ajili ya nyama

    shukran sna mkuu🙏
  4. D

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Ufugaji wa mbuzi kwa ajili ya nyama

    Habari wana JF, Mimi ni kijana wa miaka 26 nimekuja kwenu wana JF ili niweze kupata elimu na kunifungua akili juu ya wazo nililo nalo na wapi pa kuanzia Nimejipanga kuanza shughuli za ufugaji wa mbuzi wa nyama ni kitu ambacho sijawahi kufanya hapo kabla hivo nahitaji msaada wa mawazo...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutodumu na wafanyakazi inatishia kunifilisi

    huo ndo uhalisia kwasbabu mwingne atakwambia sijui huwalipi vizuri cjui blah blah kibao lakin kawaida huwez kulipa zaid ya kile unacho earn ndan ya mwez katika ofis yako
  6. D

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutodumu na wafanyakazi inatishia kunifilisi

    kwanza kabisa jua kua huwezi kumridhisha kila mtu hata ufanye mema 100 baya 1 tuy linafukia yale yote yalio mema... hivo basi wew kma boss unatakiwa usimame katika muongozo wa kazi zako pale ambapomfanyakaz amefanya vema wala usione shida kumpq hta tip au bonus vyvyte vile ilimradi ku appreciate...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu tangu amepata kazi amebadilika sana. Amekua hapendi nijue ratiba zake

    Nashukuru sana kiongozi🙏
Back
Top Bottom