Recent content by Drax Draxlerr

  1. D

    Wafanyakazi manual work wanahitajika

    Walio nje mwanza wanafikiwane??
  2. D

    Hii ni kwa WASAFIRI NA DIASPORA TU: Lets Go, Wale mliofanikiwa kwenda nchi za Ulaya au America tuambieni ni njia zipi mlizitumia??? AGENTS??

    Habari Kama Heading inavo sema, hii ni kwa watu wa safari tuu ikiwa wew huamin katika safar na upambanaji katika nchi za watu basi pita kushoto hii haikuhusu Kwa wale wenzangu wenye ndoto za kusafir kwenda Poland, Australia, Ujeruman, Denmark, Scandinavia, UK, Canada, US na nchi nyingn zenye...
  3. D

    Natafuta kazi (kibarua)

    kuna nagas ngap kaka
  4. D

    Oral interview Tips

    Tupe mfano wa maswali ambayo huulizwa Oral interview za utumishi I mean common Questions
  5. D

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    unaweza tupa Hints za maswali uliyoulizwa?? I mean km unayakumbuka maswali uliyoulizwa unaweza share na sis coz kuna watu weng sana wanasubir interview and japo kada ni tofaut but maswali yako yanaweza saidia watu kucreate picture on how questions come and how they can organize themselves for...
  6. D

    Siamini kama leo mimi nimekuwa simple

    ni wazi kuwa HUNA AKILI
  7. D

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Andika jina lake hata kwa ufup tu, Mfano Mbaga unaweza andika Mbag then subur isearch inaweza chukia kama sekund 30 baada ya hapo utaona results, watu wenye jina hilo wanaweza kuwa weng so tumia ile navigation sign kunext mapak utapolikuta jina lako
  8. D

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Acha wenge search jina kwa kutulia kuna muda iukisearch inaload kwa mda mref kidg, kuna jamaa nilijaribu kusearch jina lake nikadhan amekosa coz sikuliona jina lake but alivojaribu kuangalia yeye mwenyew akalikuta
  9. D

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    sio wote ni daraj la III A angalia hii
  10. D

    Jeshi la 6 kwa ubora duniani linaweza kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga?

    Pengine Hukuelewa vizur Jeshi la Tz ni namba sita as an Army ( Infantry), Kuna aina 3 za majeshi (MILITARIES) 1. ARMY hili ni jesh la Miguu au jeshi la Ardhini, wakat mwingine huitwa Infantry 2. Jeshi la Anga ( AIR FORCE), hili ni mwendo wa Angani tu linatumia sana Ndege za kivita na Drones...
  11. D

    Kingereza kitafelisha wengi kwenye Oral Interview. Mwalimu kama hujui kingereza ni bora usijisumbue

    Oya hata written hujafanya tayr unawaza Oral??? wazen written kwanza unawez jikuta unakandwa mapem tu oral ukaiskia redion
  12. D

    Mke anatafutwa

    Umri usizd 27
  13. D

    Mke anatafutwa

    Mwenye mtoto hapana, Although it can be discussed depending on the situation
  14. D

    Mke anatafutwa

    Kuna kijana wa Kiislam ana umri wa miaka 28, Elimu yake ni degree, amejiajiri na kwa rehma za Allah pesa ya kula na mahitaj mengine muhimu zipo. Sifa za Mke anaehitajika ni kama ifuatavyo; Awe muislamu mwenye kufanya Ibada. Awe na Elimu angalau Certificate au Diploma, Akiwa na Degree its even...
Back
Top Bottom