Recent content by Drammaqueen

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi akili hazijatulia

    Mdogo wangu umeolewa? Niko kwny ndoa 2yrs..hv unafikir ndani ya ndoa ni km girlfriend n boyfriend mnatiana kila mkionana? Mnaeza muwe hamjagombana but mkalala hata 3wiks bila kugusana..na inawezekana wala hakusaliti na wala ww husaliti ila ni ubize tu na majukumu..sasa usifikir hata ukiolewa na...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi akili hazijatulia

    Ha ha haaaa zamda niache nilale..ukute umeshindia dagaa za kuchemsha siku 2 mangi anadai hela yake..mume karudi hana mia..na ww utaweza kum bembeleza eti ipo siku utapata?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi akili hazijatulia

    Zamda my dear mtu asikudanganye upendo haulipi ada wala hauweki chakula mezani..na mwanaume akiwa na stres ya hela hata dushe haisimami na huo usingz hapati..
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi akili hazijatulia

    Huo ulikuwa ujinga wa mama yangu..he married my dad akiwa hana mbele wala nyuma mama akauza hadi vitumbua bdy mazao wakaja kutajirika saana then baba yangu akamuacha sayn hawaendan tena while they fought 2gthr..so mi sianzi frm zero na mwanaume ng'oooo
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi akili hazijatulia

    I better cry in a hummer wea nobody sees mi than cryn in a bicycle
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi akili hazijatulia

    Mi mbona sioni tatizo na hyo post yake? Fact..myself I cnt imagn tht woman who married a man without a car
Back
Top Bottom