Recent content by Dragon Kulala

  1. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Vyama vya Wafanyakazi pamoja na kuchukua michango kila mwezi vinakosa hata tovuti

    Wachumia tumbo hao Sent using Jamii Forums mobile app
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali hii ya Awamu ya 5 imeshindwa kweli kumshika na kumshtaki mtu anayeitwa Kigogo2014?

    Kigogo akamatwe kwa kosa gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene amwagiza IGP kuwapangia kazi nyingine matrafiki wenye vitambi. Je, ni kosa askari kuwa na kitambi?

    Hiyo mi askari yenye mitumbo mikubwa imekalia kupokea rushwa tu, huwa haitosheki, FYEKELEA MBALI Sent using Jamii Forums mobile app
  4. D

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo msifanye makosa Uchaguzi 2020

    Wanasiasa wanatuchezea akili, wote lao moja, kuchumia matumbo yao na familia zao, kujilimbikizia mali na kutafuta umaarufu tu.SIONI HAJA YA KUSUMBUKA KUPIGA KURA MIE Sent using Jamii Forums mobile app
  5. D

    JamiiForums Tanzania TANZIA Babu Njenje Mabruk amefariki dunia alfajiri ya leo

    R.I.P Sent using Jamii Forums mobile app
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini huu utawala unatumia nguvu kubwa sana kujisifia?

    Ni uzwazwa tu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini huu utawala unatumia nguvu kubwa sana kujisifia?

    Uzwazwa unawasumbua Sent using Jamii Forums mobile app
  8. D

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Malebo aliyeimbwa na Pastor Munishi?

    Yupo kwake Sent using Jamii Forums mobile app
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA inashindwa kuongoza wabunge wasiozidi ishirini ! Ni vipi wanatudanganya wanaweza kuongoza Watanzania million 60? Watanzania tuwe makini

    CHADEMA ni taasisi,maamuzi yote yanayofanywa pale si ya Mbowe kama baadhi ya mamluki wa upande ule mnavotaka kutuaminisha.Mnahoji maamuzi ya CHADEMA,nyie mlipomtimua MEMBE kisa ana nia ya kugombea Urais mliulizwa na nani?ACHENI UZWAZWA Sent using Jamii Forums mobile app
  10. D

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Hakuna Mbunge aliyefukuzwa Ubunge. Vikao vya majungu havifanyi kazi hapa, Msajili tazama vyama vya namna hii

    NDUGAI UPEWE VYEO VYOTE,USPIKA,UENYEKITI WA VYAMA VYOTE,USAJILI WA VYAMA NA UMBEA Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Hakuna Mbunge aliyefukuzwa Ubunge. Vikao vya majungu havifanyi kazi hapa, Msajili tazama vyama vya namna hii

    Ndugai acha kiherehere,maamuzi ya CHADEMA yanakuhusu nn?Wewe ndo unawapa kiburi wasifuate taratibu za Chama,angalia ya kwako huko kijani njano party Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Walimu watakiwa kuripoti na kusaini kazini kila siku wakati huu wa Corona

    Acha uzushi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. D

    JamiiForums Tanzania RC Makonda na Mrisho Gambo wajifunze kwa RC Shamshama na Dr Kleruu, uongozi wa visasi haulipi

    Huyu jamaa nashindwa kuelewa hichi kibri anakipata wapi!Inavoonekana yuko juu ya sheria huyu ndugu Bashite.Amekuwa anatoa matamko ya ajabu na hovyo kila kukicha.Mara mwanamke atakayepigwa na mumewe,apigiwe simu,utapokea simu za wanawake wangapi hapa Tanzania?Mara wanawake waliotelekezwa akutane...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanaomsifia Magufuli huwa wanalala kweli?

    Wako kazini,kujipendekeza ni kazi inayolipa sana awamu hii ya gwala Sent using Jamii Forums mobile app
  15. D

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke Mungu akulinde, umeionyesha dunia udhaifu mkubwa wa serikali ya Rais John Pombe Magufuli

    Ni muda wa kuwapumzisha jumba la makumbusho hawa FWISI EMU Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom