Recent content by Dr Yesaaya

  1. Dr Yesaaya

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Ahahahahaha
  2. Dr Yesaaya

    JamiiForums Tanzania Barua kwa mwanangu - Tanzania

    Asante sana naomba kura yako katika andiko hili
  3. Dr Yesaaya

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuibiwa pesa au vitu vya ndani na wanawake tukutane hapa

    Dah wanawake sometimes ni wanyama hatari sana. Rfk yngu alisafiri akamuacha demu ambae hajadumu nae sana kwenye mahusiano. Aliporudi akakuta demu kasafisha kila kitu. Fanicha, friji, TV nguo yaan vyote kasomba. Majiran wakamtonya kuwa ilikija kenta kbsa kuhamisha vitu, dem hakupatikna hewan mpk...
  4. Dr Yesaaya

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Asee wengi tunapita njia hizo hizo... hela haikai utadhan tumerogwa. Kupenda mademu anasa n pombe ndio chanzo
  5. Dr Yesaaya

    JamiiForums Tanzania Barua kwa mwanangu - Tanzania

    HAHAHAH Itabdi mwanangu asome
  6. Dr Yesaaya

    JamiiForums Tanzania Barua kwa mwanangu - Tanzania

    Anaandika MTANGANYIKA - Rais wa TEGETA Empire - 0752591744/0682080069. Barua Kwa Mwanangu MTANGANYIKA BARA, S.L.P 1961, Mbinguni. 12/ 09/ 2022. MTANZANIA BARA VISIWANI, S.L.P 1964, DODOMA, UNGUJA K.K Malaika Mkuu Gabriel Mawinguni JUU. Kwako mwanangu nikupendae sana. Hujambo...
  7. Dr Yesaaya

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujue ugonjwa wa UTI Kisha jikinge

    Jiepushe na Maambukizi katika njia ya mkojo kitaalamu – UTI (Urinary Tract Infections) Anaandika Dr MSANGY. 0752591744/0682080069 UTI – Ni maambukizi ya vimelea vya magonjwa katika mfumo wa mkojo – kuanzia katika figo (kidneys) unapochujwa mkojo hadi katika sehemu ya kukojoa yaan urethra. UTI...
  8. Dr Yesaaya

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afya ya uzazi: Upungufu wa nguvu za kiume

    UKOSEFU AMA UPUNGUFU W NGUVU ZA KIUME Mwandishi: DR. Yassayah M, 0752591744/0682080069 wa -Tegeta DSM UTANGULIZI Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume kitaalam – Erectile Dysfunction ni hali ya uume kushindwa kuamka/kusimama au kuamka kwa muda mfupi kisha kushindwa kuendelea kusimama wakati...
  9. Dr Yesaaya

    JamiiForums Tanzania SoC02 Muziki, Uchumi na Maisha

    Muziki, Uchumi na Maisha Mwandishi: Dr Yassayah – (Daktari wa binadamu, mtunzi na mwimbaji wa muziki tangu 2007) Muziki ni jambo zuri katika jamii. Muziki umeumba jamii zetu na tamaduni zetu tangu vizazi na vizazi. Katika maisha yetu ya kila siku muziki husaidia kuibusha hisia, mitazamo na...
Back
Top Bottom