Katika kukabiliana na UVIKO-19, ni sawa kuanza kuyachanja haya makundi yaliyopendekezwa na kamati ya Profesa Aboud?
Simiyu, Tanzania
Mheshimiwa rais Samia alipoingia madarakani aliunda kamati ya wataalamu wa hapa nchini ili kufuatilia mwenendo wa mlipuko wa UVIKO-19 na kumshauri njia za...
Kwa utopolo alioufanya Mdee, Kawe kwa miaka 10, wacha tuende na Gwajima. Itoshe kusema katika aliyosema alichokua anakosa ili afanikiwe kuyatekeleza ni nafasi ya Ubunge. Nafikiri tukimpatia dhamana angalau kwa miaka 5 ndio tuanze kuhoji kwa nini hajafanikiwa. Tumpe Gwajima Kawe
Hakuna logic hapo, tofauti nnayoiona mimi ni mafarisayo wenye kufuata sheria na kawaida inayoonekana kwa macho wakati watu kama Gwajima ni mfano wa Petro yani watu ambao media inatumika kuwachafua na kuwafanya waonekane si kitu, Hata Kipindi cha Yesu, Mafarisayo walionekana ni watu wa maana na...
Nimekuelewa vizuri sana mwalimu, watu wengi hawajui kwa nini Vyombo vya habari kama BBC huwa viko makini sana kuripoti na kuandika kuhusu nchi nyingine kuliko nchi zao. Ukweli ni kwamba njia pekee ya kuwagawa watu ni kuamua wampende nani na wamchukie nani. Ili kupenyeza maslahi yao. Na vyombo...
Askofu ni mtu wa misimamo sana. Tunahitaji viongozi wa namna yake ili kuikomboa nchi yetu. Nafikiri watu wa kawe wamepata bahati, wenye ufahamu mzuri wanaelewa hii nchi ilikotoka na namna ambayo Askofu Gwajima amekuwa mstari wa mbele kunyosha palipopindishwa. Huu ni wakati wa yeye kuwepo katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.