Nko kwenye mchakato wa kufuatilia passport ila haya maelezo yananipa wasi wasi
Jina la babu kwenye cheti changu cha kuzaliwa
Lina utofauti kidogo (herufi zimekosewa) na jina la baba kwenye cheti cha kuzaliwa cha baba yangu
Note; jina la babu lililopo kwenye cheti changu
Hii haitonipa shida...
https://www.cbsnews.com/news/lana-steve-clayton-eye-drop-poison-suffer-48-hours/
Story nzuri ya kutunga ila
1.umehusisha taasisi ya afya MUHIMBILI na wahudumu wake
jambo ambalo linaweza kuleta taharuki
2.umeielezea dawa kwa undani bila kujali watu ambao wanaweza kuwa na nia ovu na kutaka...
Kipimo kitaalam kinaitwa urethrocystoscopy
Kinatumia waya mwembamba wenye diameter mithili ya ule mpira wa kukojolea (urine catheter)
wenye camera kwa mbele na kinachochukuliwa kwenye camera kinakuwa displayed kwenye screen kubwa
Madhara ya kipimo;kuleta michubuko kwenye njia ya mkojo ambapo...
Mkuu we umeshawahi kusikia ngap zimefanyika hapa bongo?
Vipi kuhusu upandikizaji wa figo?
Ngapi zimefeli ngapi zimefanikiwa?
Je ukilinganisha na za wenzetu sisi tuko position ipi?
Mara ya kwanza naijua JF nlidhani wengi ni watu wenye weledi
Nadhani ni sababu mengine yaliyokuwa nayaongelewa sikuwa na uelewa nayo
NB;tujaribu kufuatilia kabla ya kujibu vitu tusivyovielewa
Tu gugo basi hata kidogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.