Recent content by Dr.Toy

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tulifanya for funny sasa anataka kujenga kibanda

    Ur right Lisa, muda mwingi, tumekuwa watu wa kuongea bila kufikiria kwa sababu vitu tunavyovisoma, havijatufika sisi. Lakini, tungeelewa umuhimu wa kutoa ushauri na namna gani ushauri mzuri, huwa unaleta matokeo mazuri, tusingekuwa tuna-comment kama watoto wa darasa la1, kwenye mambo yenye umuhimu.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Vijana na Mapenzi.

  3. D

    JamiiForums Tanzania Vijana na Mapenzi.

    Kwa nini vijana wengi wanadanganyana kwenye suala la Mapenzi?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kweli kupanga uzazi hakuna madhara?

    Ya asili ni kama ipi my dia?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa?

    Ur right Mr.Kwapa.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Alimaanisha Nini?

    Mh!, what was he done to u my dear?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa?

    Thanx Afrique. But It's gud we umeelewa, just take action and teaches others.
  8. D

    JamiiForums Tanzania I am loking for a girl who will be my best friend. Age btn 18 - 23 years

    Ok, just ni PM ur mail so that we can exchange different ideas.
  9. D

    JamiiForums Tanzania I am loking for a girl who will be my best friend. Age btn 18 - 23 years

    Just be my friend though umenizidi k'dgo, I do lyk 2 do CPA too. Will u?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa?

    Nasema, u respect urself, peole respect u. Bt It's ok, kila m2 ana haki ya kutoa mawazo yake. Bt nw-on jitunze plz.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa?

    Ni tamu kweli, but unajua mshahara wa dhambi ni nn? Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Jamani naomba msaada wa mapenzi yananisumbua

    Pole sana bro, I knw kwa sehemu unavyoumia bt plz piga moyo konde, and focus sana kwa MUNGU, ATAKUPA A RIGHT person.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa?

    Who told you Lizzy? And why u think that?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

    Very sorry my sis, kukosea siyo mwisho wa maisha. Just have a gud tym with GOD and repent 4what u have one. Anza mwanzo mpya, kama kiumbe kipya.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nampenda tatizo ananibania penzi

    Hiyo ni dalili nzuri bro, it's better 2have sm1 who respect u by not giving u so easily. Na hata kama mtaachana, hutokuwa ktk position mbaya coz hujawahi mgusa and now magonjwa mengi. Subiri na kuwa mwangalifu na wadada.
Back
Top Bottom