Recent content by Dr. Scratchansniff

  1. D

    JamiiForums Tanzania Msaada mawazo: Unaweza kumrudia mwanamke ambaye amekucheat?

    Kuna vitendo ambavyo akafanya mtu anaweza akapawa second chance na vingine hafai kupewa. Usaliti ni moja kati ya hivyo ambavyo hafai kupewa. La siwezi kumrudia hata roho ikawajaribu kunishawishi.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Swali kwenu wanawake wa Jamiiforums

    Ha ha ha ha! Jamaa kajitwika jukumu zito la ulezi wa mtoto ambaye ni results za experiment ili apate heshima kwa bibi ambaye si understanding hata kidogo. Huyo mtoto sasa itakuwaje?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ni mwanamke au mwanaume wa mwonekano upi anayekuvutia?

    Mrefu, mweusi mwenye athletic figure.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Teknolojia gani ni kubwa zaidi kutokea duniani?

    The wheel. It revolutionized (no pun intended) and influenced almost every single aspect of human technology. Gears, sun dails e.t.c....
  5. D

    JamiiForums Tanzania Newbie Reporting.

    Once a lurker, now a member looking for a time to remember..........that sounds like something one would write on a creepy dating website. Anyway, am glad I have finally joined. Cheers!
Back
Top Bottom