Mtoa mada nadhani ni vyema ungetembelea vyuo vingne tena vyenye majina makubwa na uone changamoto zake utamshukuru Mungu kwa kukupeleka SAUT.
Nlikua juzi tu hapo,kwa upande wa gharama za maisha ziko chini.Hostel hata unazodai ni mbaya huwezi ukazifananisha na vibox vile vya Muhimbili ambavyo...
Usikate tamaa ndg yangu endelea kupambana.Enzi zetu kuna watu walitemwa mpk 3rd round wakaingia vyuo kimagumashi sana.Kukosa 1st round haimaanishi ndo mwisho wa safar bali jitahid kufanya machaguo yako kwa umakini na huku ukiendelea kumuomba Mungu akawe pamoja nawe na hakika mwisho wa siku...
Hongera mkuu kwa matokeo mazuri ingawa hayakukidhi mahitaji.Kimsingi hapo wanahesabu Masomo mawili hivo yaani CC mbili kutoka kwny comb yako tofauti na miaka yetu ilikua masomo ma3.Kwa maana nyingine kwa vigezo vya sasa ambavyo wanatumia two subjects from your combination una pts 6 na sio 9 km...
Pole sana kk,kna baadhi ya vyuo huangalia hadi matokeo yako ya F4 hasa pale competition ikiwa kubwa mfano MUHAS mwaka jana na juz wote walioingia MD lazma walikua na division 1 ya o lvl ukiachilia mbal ufaulu wa adv.Weng walipigwa chini ingawa walikua na ufaulu mzr wa adv. ila o lvl hawana 1.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.