Recent content by Dr. Ng'ida D. Mollel

  1. Dr. Ng'ida D. Mollel

    JamiiForums Tanzania Kuna genge lenye roho mbaya ndani ya CCM

    Nafikiri kila mmoja ana haki ya kufikiri aonavyo yeye pasipo kumuathiri mwingine katika hoja zinalolihusu taifa. Tatizo kubwa ni kumuona mwenye mawazo mbadala kama msaliti! Kamwe haitawezekana wote kua na mawazo yanayofanana. TUVUMILIANE
  2. Dr. Ng'ida D. Mollel

    JamiiForums Tanzania Barua ya shukrani kwa Jakaya Kikwete

    KUNA MENGI YA KUSHUKURU....Kweli kabisa MZEE WA MSOGA ulikua na UTU! Mungu akupe afya njema na maisha marefu.
  3. Dr. Ng'ida D. Mollel

    JamiiForums Tanzania Safari ya Magufuli kuondoka Dar ni kama "The Great Trek" ya Makaburu wa Kidachi(1835-1846)

    Hapa tuache ushabiki wa kisiasa. Kama kuna kitu ambacho JPM atakifanya cha maana, basi ni hiki cha kuhamisha makao makuu kwenda Dodoma! Sababu ni hizi; Kwanza ni ukweli usiofichika kwamba Dodoma ni katikati ya nchi Pili, msongamano wa watu, magari (jam), kwa kiwango kikubwa kimesababishwa na...
  4. Dr. Ng'ida D. Mollel

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Upinzani ni wakati wenu kujima upya! Vinginevyo wanachama wengi hawana sababu za msingi kuendelea na upinzani! SORRY
  5. Dr. Ng'ida D. Mollel

    JamiiForums Tanzania Nadhani wakati wangu kujiengua CHADEMA na kwenda CCM umefika

    Hapa tunaongea na critical thinkers nafikiri, wewe ambaye unatukana naomba nikuulize; tunachopambania hasa ni nini? Je huko upinzani ulishawahi kuingia!? Kuna demokrasia huko? Na je hicho kinachopiganiwa ni achievable? Ndugu yangu tafakari sana kabla ya matusi. Bora ng'ombe kasoro mkia kuliko...
  6. Dr. Ng'ida D. Mollel

    JamiiForums Tanzania Magufuli achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa kumrithi Kikwete. Makamba asema “Magufuli atawabatiza kwa moto“

    Kwa hali ya siasa ilivyo sasa, haishangazi hata kidogo anastahili mwanaume huyo!
  7. Dr. Ng'ida D. Mollel

    JamiiForums Tanzania Nadhani wakati wangu kujiengua CHADEMA na kwenda CCM umefika

    Kutokana na hotuba iliyotukuka ya Mwenyekiti mpya wa CCM, Dr. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mimi, Dr. Daud Ng’ida Mollel, niliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, leo tarehe 23/7/2016 natangaza rasmi kujiengua kutoka ACT wazalendo na kurudu...
  8. Dr. Ng'ida D. Mollel

    JamiiForums Tanzania Nadhani wakati wangu kujiengua CHADEMA na kwenda CCM umefika

    Kutokana na hotuba iliyotukuka ya Mwenyekiti mpya wa CCM, Dr. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mimi, Dr. Daud Ng’ida Mollel, niliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, leo tarehe 23/7/2016 natangaza rasmi kujiengua kutoka ACT wazalendo na kurudu...
  9. Dr. Ng'ida D. Mollel

    JamiiForums Tanzania Pinda alifaa kuwa Waziri wa Mashambani na Si Waziri Mkuu

    Mengi yamesemwa. Pinda pima mwenyewe km viatu vyako vinastahili kuvaliwa na wewe mwenyewe.
  10. Dr. Ng'ida D. Mollel

    JamiiForums Tanzania LIPUMBA: Kauli ya piga tu ya Pinda ndiyo iliyotumika katika oparesheni tokomeza

    Loh! Poleni wan JF. Nafikiri jamii forum tumeingiliwa hatujadili hoja tena bali ni wafuasi wa watu ndio waliobaki kubwabaja ujinga.
  11. Dr. Ng'ida D. Mollel

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Mdogo wangu Mwigulu, Ubunge na unaibu katibu mkuu wa chama tawala kama CCM ni majukumu mazito sana. Mimi nafikiri unajivunjia heshima mwenyewe kwa hoja zisizo na mashiko. Kama alimwita huyo mbunge wewe kinachokuuma nini? Ama ni mume mwenzio? Hebu hangaika na kero za wana IRAMBA, 2015 sii mbali...
  12. Dr. Ng'ida D. Mollel

    JamiiForums Tanzania Mrema: Nitagombea tena Ubunge

    Atagombea kwa TLP au CCM? CDM, nafikiri katika yote hilo ni jimbo la kwanza jepesi, la pili ni Arumeru Magharibi kwa Medeye, la tatu ...
  13. Dr. Ng'ida D. Mollel

    JamiiForums Tanzania Ole Medeye atangaza vita na wachaga asema watang'oka Arusha

    MmmmmH! Ngoja nitafakari kwanza, lakini, naibu waziri hapa hutatoka!
  14. Dr. Ng'ida D. Mollel

    JamiiForums Tanzania Mengi: Prof. Muhongo ni muongo

    Nilikuwepo kwenye mjadala Nkurumah hall. Mengi ni mkweli na kongamano halikutoa fursa kwa washiriki kuuliza ama kuhoji data aliyokuja nayo waziri mwenye dhamana. Ninashangaa sana watz. tunashnilia nini ktk hoja za Muhongo.
  15. Dr. Ng'ida D. Mollel

    JamiiForums Tanzania Hivi Ni kweli alipokuja Mandela Tz alipata mapokezi makubwa kuliko Pope John Paul 2 au Obama?

    Wana JF; Huwa sina tabia ya kujikomba kwa mzee wa kaya!.Nakumbuka vizuri ziara hiyo. Mimi nilisafiri na marafiki zangu kutoka arusha kuja kumshuhudia mwenye historia iliyotukuka Madiba pamoja na mkewe Winnie. Nilikuwepo pale Ubungo wakati mataa wakati msafara wa Madiba, Nyerere na Mwinyi...
Back
Top Bottom