Safari ya Magufuli kuondoka Dar ni kama "The Great Trek" ya Makaburu wa Kidachi(1835-1846)

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,384
Naufananisha uamuzi wa Rais Magufuli kutangaza ghafla kuikimbia Dar es Salaam na kuhamia Dodoma sawa na Safari ya miaka 11 ya Makaburu wa Kidachi walipowakimbia watawala wa Kiingereza kutoka Cape(The Cape Colony) na kukimbilia mbali mashambani ndani kabisa mwa South Afrika ya leo kutafuta makazi mapya...maana joto la kuishi na mkoloni Mwingereza lilikuwa kubwa mno(Rejea the Great Trek, au Die Groot Trek,1835-1846).

CCM na Rais Magufuli hawawezi kukiri waziwazi, lakini hawa ndugu wanafahamu kabisa kwamba kuishi katikati ya joto la UKAWA ndani ya jiji la Dar es Salaam ni vigumu mno...uamuzi rahisi ni kuwakimbia UKAWA Dar na kwenda kusaka makao mapya huko interior,Dodoma...

Tunawatakia safari njema, lakini wakumbuke kuwa Aluta Continua, 2020 tutawafata hukohuko na kuwafukuza Dodoma - baada ya hapo sijui wataelekea wapi,labda Singida, au Igunga, au Biharamulo, au Chato, I have no Idea!
 
Ha haaa haaaaaah!, watu mnaona mbali sana! ha haaaaaaa aaaaaah!. Town boy hawezi ishi na shamba boy mahali pamoja, Kimbia fanya fasta we kimbia wala usigeuke nyuma we kimbia tuuuu!. Hatari sana!
 
Sasa hivi idodomya ndio habari ya mjini,dar imekuwa mkoani!! Vyama ambavyo havina ofisi Kama chadema etc vikatafute makao Dodoma Sasa...pato la kinamatonya nalo litakuwa maana wah. watajaa mujini hwahwahwaaa..
 
Kuna Bongo za watu ni Fikra Mgando saaana . .. yaani Serious unathubutu kuongea utumbo kama huo ..
Binafsi ni CDM lakini nimechukizwa saana na ujinga ulioundika ..hauendani na historia fupi na tamu uliyoitanguliza b4.

Thnk Big brother ..si kila kitu kinahitaji kupingwa kisa ww ni mpinzani ..

Jifunze kuunga mkono maendeleo ya nchi yako na kua mzalendo na si kusambaza Propaganda kwa wananchi kwa swala zuri la kimaendeleo linaloongozwa na Serikali .

Mji wa Dodoma ulipaswa ukuwe toka Miaka mingi iliyopita ...
 
Kukaa mbali na ukawa, sio kwamba wanakimbia, ila harufu ya mikia inayooza ndio inawafanya wasogee mbali.
 
kama elimu yetu imefikia hapa basi tena!!!yani wewe unatuletea mawazo yako hapa ambayo hayana kiha wala miguu halafu unataka tukuamini??au nimwendelezo wa uongo wenu na propaganda za kijinga kama za kuanzia mwaka 2008-july 2015?? mlituaminisha kuwa lowassa ni fisadi papa mpaka mka publish kwenye magazeti na mitandao ilipofika july 2015 mkageuka eti siyo fisadi!!!swala la serikali kuhamia dodoma limekuwepo tangu enzi za hayati mwalimu JK kilihokosekana ilikuwa utekelezwajim tu .leo amekuja mwenye kutekeleza ahadi zake ( si kama ninyi mnahubiri uongo =lowassa ni fisadi then siyo fisadi) unanza kubwatuka eti CCM inakimbia joto la ukawa ya dar !!! nonsense!!!!!
 
Kwani wakati Mwalimu Nyerere anaiteua Dodoma kuwa Makao Makuu alikuwa na hoja zipi? Je wakati huo kulikuwa na UKAWA? Haya ni mawazo ya kipumbavu sana. Upumbavu kama huu umeandikwa jana na Henry Kilewo na sasa unasambaa kwa makamanda wote. Endeleeni kuamini hivyo. Magufuli hatarudi nyumba kwa kusikiliza upuuzi wenu
 
Nashindwa elewa tabia zetu wabongo yaani serious issue watu wanaleta utani duh cdhani kama tutafika Kwa hali hii
 
Naufananisha uamuzi wa Rais Magufuli kutangaza ghafla kuikimbia Dar es Salaam na kuhamia Dodoma sawa na Safari ya miaka 11 ya Makaburu wa Kidachi walipowakimbia watawala wa Kiingereza kutoka Cape(The Cape Colony) na kukimbilia mbali mashambani ndani kabisa mwa South Afrika ya leo kutafuta makazi mapya...maana joto la kuishi na mkoloni Mwingereza lilikuwa kubwa mno(Rejea the Great Trek, au Die Groot Trek,1835-1846).

CCM na Rais Magufuli hawawezi kukiri waziwazi, lakini hawa ndugu wanafahamu kabisa kwamba kuishi katikati ya joto la UKAWA ndani ya jiji la Dar es Salaam ni vigumu mno...uamuzi rahisi ni kuwakimbia UKAWA Dar na kwenda kusaka makao mapya huko interior,Dodoma...

Tunawatakia safari njema, lakini wakumbuke kuwa Aluta Continua, 2020 tutawafata hukohuko na kuwafukuza Dodoma - baada ya hapo sijui wataelekea wapi,labda Singida, au Igunga, au Biharamulo, au Chato, I have no Idea!

Nonsense
 
We nawe? Hahahahahaaaaa. Kila mtu na tafsiri zake kweli. Rais akimbie UKAWA? So funny!
 
Kuna Bongo za watu ni Fikra Mgando saaana . .. yaani Serious unathubutu kuongea utumbo kama huo ..
Binafsi ni CDM lakini nimechukizwa saana na ujinga ulioundika ..hauendani na historia fupi na tamu uliyoitanguliza b4.

Thnk Big brother ..si kila kitu kinahitaji kupingwa kisa ww ni mpinzani ..

Jifunze kuunga mkono maendeleo ya nchi yako na kua mzalendo na si kusambaza Propaganda kwa wananchi kwa swala zuri la kimaendeleo linaloongozwa na Serikali .

Mji wa Dodoma ulipaswa ukuwe toka Miaka mingi iliyopita ...

ndg. yangu kuna watu humu mda mwingine huwa nahisi sio watanzania, na kama ni watanzania hawaitendei haki kabisa nchi yao,
 
Naufananisha uamuzi wa Rais Magufuli kutangaza ghafla kuikimbia Dar es Salaam na kuhamia Dodoma sawa na Safari ya miaka 11 ya Makaburu wa Kidachi walipowakimbia watawala wa Kiingereza kutoka Cape(The Cape Colony) na kukimbilia mbali mashambani ndani kabisa mwa South Afrika ya leo kutafuta makazi mapya...maana joto la kuishi na mkoloni Mwingereza lilikuwa kubwa mno(Rejea the Great Trek, au Die Groot Trek,1835-1846).

CCM na Rais Magufuli hawawezi kukiri waziwazi, lakini hawa ndugu wanafahamu kabisa kwamba kuishi katikati ya joto la UKAWA ndani ya jiji la Dar es Salaam ni vigumu mno...uamuzi rahisi ni kuwakimbia UKAWA Dar na kwenda kusaka makao mapya huko interior,Dodoma...

Tunawatakia safari njema, lakini wakumbuke kuwa Aluta Continua, 2020 tutawafata hukohuko na kuwafukuza Dodoma - baada ya hapo sijui wataelekea wapi,labda Singida, au Igunga, au Biharamulo, au Chato, I have no Idea!

acha kufikili kwa kutumia kakalio.
 
Hapa tuache ushabiki wa kisiasa. Kama kuna kitu ambacho JPM atakifanya cha maana, basi ni hiki cha kuhamisha makao makuu kwenda Dodoma! Sababu ni hizi;
  • Kwanza ni ukweli usiofichika kwamba Dodoma ni katikati ya nchi
  • Pili, msongamano wa watu, magari (jam), kwa kiwango kikubwa kimesababishwa na ukubwa wa serikali na wada wanaohitaji huduma za kiserikali kutoka sehemu mbalimbali za nchi, hivyo msongamano itapungua pasipo shaka.
  • Viongozi wengi waliotangulia walishindwa kutimiza azma hii licha ya kilio kikubwa kutoka kwa wadau, hili litaacha legacy nzuri sana katika historia ya JPM kama kweli atalifanikisha.
  • Itatoa nafasi ya kujengeka kwa makao makuu katika ktk mji mpya wa kisasa utakaoweza kupangika vizuri kuliko Dar ya sasa.
  • Kwa kiwango kikubwa, itapunguza sana matumizi ya serikali i.e. gharama za safari na posho kuelekea Dodoma zitakwisha.
  • Itazalisha fursa kwa wajasiriamali na biashara zao katika makao makuu mapya.
  • Dodoma ya sasa imeunganishwa kwa miundo mbinu mizuri e.g. barabara ya lami kuelekea mikoa yote ya nchi kama vile Morogoro, Iringa, Singida, Tabora Mwanza, Arusha, reli ya kati, uwanja mpya wa ndege unaojengwa n.k.
  • Itatoa nafasi ya Dar es Salaam kuwa ni jiji maarufu la kibiashara kulingana na umaarufu na miundombinu kama vile bandari, uwanja wa ndege n.k
 
Chadema kila linalo fanywa na serikali ya JPM wanatafuta cha kujifariji, walianza kipindi cha kampeni, mpaka Leo wameganda pale pale
 
Napenda upinzani lakini kwa ili jambo please tushikamane pamoja, hakuna atakae toka nje kuja kuijenga Tanzania yenye usawa, Maendeleo Bali ni sisi wenyewe.
Weka pembeni itikadi za vyama tujenge taifa letu, kwa ili dhambi itakutafuna ndugu yangu maana Rais wetu anapambana kutetea jasho la walalaoi, just let join together kumsupport ili jambo
 
Naufananisha uamuzi wa Rais Magufuli kutangaza ghafla kuikimbia Dar es Salaam na kuhamia Dodoma sawa na Safari ya miaka 11 ya Makaburu wa Kidachi walipowakimbia watawala wa Kiingereza kutoka Cape(The Cape Colony) na kukimbilia mbali mashambani ndani kabisa mwa South Afrika ya leo kutafuta makazi mapya...maana joto la kuishi na mkoloni Mwingereza lilikuwa kubwa mno(Rejea the Great Trek, au Die Groot Trek,1835-1846).

CCM na Rais Magufuli hawawezi kukiri waziwazi, lakini hawa ndugu wanafahamu kabisa kwamba kuishi katikati ya joto la UKAWA ndani ya jiji la Dar es Salaam ni vigumu mno...uamuzi rahisi ni kuwakimbia UKAWA Dar na kwenda kusaka makao mapya huko interior,Dodoma...

Tunawatakia safari njema, lakini wakumbuke kuwa Aluta Continua, 2020 tutawafata hukohuko na kuwafukuza Dodoma - baada ya hapo sijui wataelekea wapi,labda Singida, au Igunga, au Biharamulo, au Chato, I have no Idea!

kwa hiyo zile plan za tangu miaka 30 iliyopita za kuhamia Dodoma zilijua UKAWA itakuja?

mama yako ana hasara sana
 
Back
Top Bottom