Habari wana JF,
Ni muda mrefu sasa tangu tuhuma za huyu mkurugenzi mkuu wa TCB bwana Adolph Kumburu zikisheeni katika mitandao mingi ya kijamii,Magembe alianza kuchukua hatua sahihi na kuanza kuangalia utendaji wa huyu mtu lakini alinyamazishwa mdomo kwa kubadilishwa wizara.
Amekuja swaiba...
Mweshimiwa Bitegeko,
Hayo uliyoyasema ni ukweli mtupu,Nashindwa kuelewa serikali hii pamoja ni waziri wa Kilimo wameshindwa vipi kuendeleza ile kazi ya Prof Magembe?? Chiza na Kumburu kama kuna agenda flani hivi ambayo behind the scene inalimaliza shirika la kahawa pamoja na kuwaongezea umaskini...
Ndugu wana JF,
Ni wiki moja sasa naona malumbano makali na pengine ya kitoto yakiendelea na yakipamba moto kila kukicha juu ya swala la Zitto kabwe na Posho,Ukitathimi kwa kina unaweza ona viongozi au wadau wa CDM ambao wameweza hata kuleta nyaraka hapa kuonyesha ALLOWANCE anazopata Mbunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.