Recent content by Dr. Msafiri

  1. Dr. Msafiri

    JamiiForums Tanzania Polepole: CCM kuna majizi makubwa, kila nikitaka kuwataja wakubwa wananizuia! | Hao wakubwa ni nani zaidi ya M/kiti? Ukiwa CCM hukamatiki?

    Huyu akamatwe akaisaide polizi kuwashughulikia wezi hawa!
  2. Dr. Msafiri

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Samia Suluhu akutana na Mkuu wa Kanisa KKKT, Dkt. Fredrick Shoo

    Bas Basi, endeleeni na mchakato wa kuliadabisha KKKT!
  3. Dr. Msafiri

    JamiiForums Tanzania Kuviziana kwenye barua za KKKT na Wizara kama suala la Zanzibar kujiunga na OIC mwaka 1992

    Religion and Politics | Internet Encyclopedia of Philosophy
  4. Dr. Msafiri

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika amzuia Waziri Mkuu Majaliwa kujibu swali la barua ya KKKT

    Pengine ile Kamati ya Amani ilikwishalijadili kabla ya barua kuandikwa?
  5. Dr. Msafiri

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Haya hapa majina mengine katika Ripoti ya Mali za CCM (Makinikia ya CCM)

    Kwa kuwa Chama siku za nyuma kilishawahi kuiuzia Serikali baadhi ya mali zake (km za Chimwaga), sasa wangeuzia Serikali viwanja vya michezo (Tabora, Mwanza, Arusha, Singida etc) ili kuendeleza michezo na wachezaji!
  6. Dr. Msafiri

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru atashindwa kama alivyoshindwa mwenzake Dr. Mukama

    Kwa kuwa hakuna Mtanzania aliyefikishwa kwenye Mahakama Mpya ya Mafisadi iliyoanzishwa mwaka juzi, basi hili taifa halina fisadi, Q.E.D.!
  7. Dr. Msafiri

    JamiiForums Tanzania Wimbi la kuwahamishia Serikali Kuu wataalamu wa wilaya halmashauri zitabaki salama?

    Because of Productivity not Production!
  8. Dr. Msafiri

    JamiiForums Tanzania Wimbi la kuwahamishia Serikali Kuu wataalamu wa wilaya halmashauri zitabaki salama?

    Katika nchi nyingi zilizoendelea, LGAs ndiyo zina nguvu za kujisimamia na kufanya maendeleo (siyo vyombo vya kisiasa) kwa sababu zinakuwa na wataalamu wa kila nyanja / weledi na kwamba wanalipwa mishahara mikubwa kuliko wa serikali kuu ambao ni wachache!
  9. Dr. Msafiri

    JamiiForums Tanzania Hakuna msamaha wa Rais wa kifungo cha nje, Magereza jitafakarini

    Basi, nacho kifungo cha nje kwake kiondolewe!
  10. Dr. Msafiri

    JamiiForums Tanzania CCM na Viwanda: Safari isiyo na Kituo (No Destination) - Hakuna Mwendelezo, Ni ‘Management by Hit’

    Actually, we are in a permanent inexpedient political campaign mode, not moving forward even an inch!
  11. Dr. Msafiri

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hawezi kuwa sahihi katika hili la mikopo chuo kikuu

    UZALENDO UTAKOMAA AU UTAKAKAMAA?
  12. Dr. Msafiri

    JamiiForums Tanzania Serikali inataka kuua na kuzorotesha shule binafsi?

    Wanaosoma shule / vyuo binafsi wasikate tamaa. Wasome kwa juhudi ili wapate uwezo wa kuanzisha shughuli za kujiajiri na pia waweze kuajiri wenzao na wengineo!
  13. Dr. Msafiri

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua kuhusu hivi viwanda 3,306

    Kama yupo wakutujulisha orodha na mahali (location) vilipo hivyo viwanda vipya 3,306 ili tuvitembelee na tuweze kuchagua bidhaa za kununua?
  14. Dr. Msafiri

    JamiiForums Tanzania Wazo la wiki: Siasa kwa maendeleo ya Taifa

    Hadi kufikia mwezi Februari 2018, viwanda VIPYA 3,306 vimeanzishwa Tanzania!
Back
Top Bottom