Kwa utaalamu wako ipi ambayo utashauri mtu amiliki hapa tanzania,ambayo ni reliable kwa mazingira yetu
Maana inaweza kuwa engine nzuri ina performance lakini ina pons an cons zake piaa reliability kwa mazingira yetu unafahamu vizuri.
Kwa performance yes mmeshasema ni F30
Je in terms of...
1.Vw cross POLO cc 1300 1L/ 14-17km
2.Subaru Impreza 2012 cc 1990 1L/ 10-14km
3.BMW 3series cc 1990 1L/10-12km
4.Crown 4GR cc 2490 utapata performance ila mafuta 1L/8-12 km inategemea na uendeshaji wako
Kweli jamaa anajifanya deep sana
Unataka uelewe physics yenyewe unafundishwa theory tena kaikuta kuanzia o-level .aache janja ukikomaa kutaka kuelewa physics kama akina Eistern humalizi hata mechanics tu kwa miaka miwili na Necta ikija lazima ikuone.Physics kariri inahitajika ikibidi na zile...
Hahaaaaa umenikumbusha mbaali sana
Mwamba Kihombo a.k.a kimangara
Mungu amtunze sana jamaa bila yeye sijui physics ingeniua kifo gani asee..somo gumu sana alafu muda hautoshi kumaliza syllabus ebwaana noma kwelii..!
Kihombo alikunja physics yote ndani ya miezi miwili
Tulikuwa tunaanza pindi...
Asante sana mkuu
Umegusia kila ambacho nlikuwa natamani kukisikia
Nmekuelewa Vizuri,ila kuna jambo linanipa shida
Nkiangalia gari zinazouzwq bongo zina mileage ndogo around 40000km
Wakati kene website tofauti tofauti hizi gari zina mileage kuanzia 90000km.na ukipata chini ya iyo40000km bei iko...
JituMirabaMinne mkuu pole na kazi..
Nakuomba,ukipata nafasi please tupe ABC
za hii gari mercides benz C class
C200 vs c180 ??
Compressor vs Avant-garde???
Vitu gani tuzingatie kabla ya kuagiza
Sitaki kufanya makosa ili nijifunze
Crown new shape 2010 vs c200
Unamshauri kijana mwenye mishe za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.