Recent content by Dr-John

  1. D

    JamiiForums Tanzania Diamond platinumz apigwa madongo vibaya sana na baby madaha!

    Ushauri mzuri toka mahali pabaya
  2. D

    JamiiForums Tanzania Florah Lymo: How to look sexy at home

    Nimeishia kucheka maana anafanana katuni yani anachekesha hata hajielewi anatafta umaarufu lakin haupati
  3. D

    JamiiForums Tanzania Florah Lymo: How to look sexy at home

    Nimeishia kucheka maana anafanana katuni yani anachekesha hata hajielewi anatafta umaarufu lakin haupati
  4. D

    JamiiForums Tanzania kwanini backberry company (RIM) imeanguka

    Mimi ni mtu wa kuchati sana napenda simu yenye physical keyboard maana inaniwezesha kutype bila kuangalia keboard. Ios 7 sijatumia so siwezi comment
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa dunia 2032/August/26

    Haaa hizo story tu wanajifanya watabiri lakini katu hautimii dunia itaisha pale tu Mungu akpenda
  6. D

    JamiiForums Tanzania sofa set used inatafutwa

    Nipatie namba yako mkuu au ntxt kwenye hiyo namba
  7. D

    JamiiForums Tanzania sofa set used inatafutwa

    Natafuta sofa set used kwa mtu anayeuza. Bei isizi lak 7 na ziwe katika hali nzuri. Kwa aliye tayari ani txt 0717354243 au whatsapp kwa hiyo hiyo namba
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kisasa inauzwa

    LOCATION: BOKO/BASIHAYA PLOT SIZE: 925 SQUARE METRES Ina vyumba vitatu kimoja master bedroom yenye balcon, ina sebule kubwa, dinning room, jiko la ndani, public toilet na bafu ya ndani. Nyumba ndo kwa nyuma ambayo pia ina choo, bafu na chumba kimoja. Nafasi kubwa kwa nyuma na nafasi kubwa mbele...
Back
Top Bottom