Recent content by Dr elly sarakikya

  1. D

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kufungua maabara binafsi

    Nimekuelewa mkuu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kufungua maabara binafsi

    Hellow wanajukwaaaa habarini za saa hizi naombaa kwa yoyote ambaye anajua muongozo wa namna ya kufungua maabara ya binafsi anisaidieee
  3. D

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa cheti cha kuzaliwa

    Habari ya saa hizi wakuu naomba kuuliza kama mtu unataka kuwa na cheti cha kuzaliwa ambacho kimehakikiwa na kuna mwaka ukishawahi kuhakiki na copy yake unayo kuna haja ya kuhakiki tena kwa mara nyingine au naweza kutumiaa hii copy niliyonayo NAOMBA KUJIBIWA KWA MWENYE UWELEWA ZAIDI Kwa maana...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Bora ufeli interview ila si kukataliwa hata kabla ya interview

    Yes kwan ni vibayaa au kuna sheria inasema sitakiwi kuomba kwasababu me ni daktari Ukiridhika na maisha ndo utaona kwamba watu fulani awatakiwi kuomba kazi fulani wakati Tangazo la kazi linanipa vigezo vya kutaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. D

    JamiiForums Tanzania Bora ufeli interview ila si kukataliwa hata kabla ya interview

    Me naomba kuuliza kama hauna kitambulisho cha nida wala kura wala leseni ya udereva ila una leseni ya udaktari watakubali ?? Ili nijue kesho naenda au siendi
Back
Top Bottom