Uhakiki wa cheti cha kuzaliwa

Uhakiki wa cheti cha kuzaliwa

Joined
May 15, 2022
Posts
6
Reaction score
4
Habari ya saa hizi wakuu naomba kuuliza kama mtu unataka kuwa na cheti cha kuzaliwa ambacho kimehakikiwa na kuna mwaka ukishawahi kuhakiki na copy yake unayo kuna haja ya kuhakiki tena kwa mara nyingine au naweza kutumiaa hii copy niliyonayo
NAOMBA KUJIBIWA KWA MWENYE UWELEWA ZAIDI

Kwa maana nyingine nina cheti cha kuzaliwa ambacho kilishahakikiwa mika miwili iliyopitaa sasa je naweza kukitumia kuomba mkopo au ni mpaka nihakiki tena upya
 
Kupitia uzi huu nimepata jibu, uhakiki wa vyeti ni suala la 'tumia pesa' upate pesa.
 
Back
Top Bottom