Recent content by Dr.Chichi

 1. Dr.Chichi

  Katavi: Waganga wa tiba asilia kujengewa hospitali

  sasa kila mganga ana dawa zake na zinatofautiana raw material ingawa zinatibu ugonjwa mmoja.je kama mgonjwa kalazwa mganga wa shift anamuanzishia dozi yake na kusitisha ya yule aliyetoka zamu????
 2. Dr.Chichi

  Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

  reading has always being a hobby of mine.it helps me escape the reality and dwell into someone elses mind even if for just a while..ive read over a thousand books......nakumbuka mama alichoma novel zangu kama mia na ushuzi hivi when i was not perfoming well nikiwa form 3...sasa hivi inakuwa...
 3. Dr.Chichi

  Hili la maiti kulipishwa madeni Hospitali za Serikali limekaaje?

  mnapenda sana kulalamika...hivi vifaa vlivyotumika toka mzee wetu kafika hospitali mpaka mauti yakamkuta analipia nani?aliyemhudumia mnadhani mshahara wake unatoka wapi?hata kama ni mtumishi wa serikali hamjui hizi pesa mwisho wa siku zinamlipa mshahara?tukate bima jamani hata kama sio nhif basi...
 4. Dr.Chichi

  Changamoto Sekta ya Afya: Wajawazito wanatumia chumba kimoja na wanaosafishwa vidonda

  hivi mkikaa kama kijiji mkachimba shimo,mkanunua mifukoo kadhaa ya cement na mkamlipa fundi mnadhani huduma haitaboreshwa?serikali ina mambo mengi na vituo vingi sana....tufike sehemu kama jamii tutoe muda wetu na rasili mali zetu kwaajili ya vizazi vyetu...kuna kamsemo kanasema 'my community...
 5. Dr.Chichi

  Waziri wa Afya na wa Uchukuzi tusaidieni kutatua kero hizi

  kwanini mnaendelea kuchagua madiwani wasio na msaada kwenu.?tunaelekea kwenye uchaguzi.....tumieni fursa vizuri mpate maendeleo
 6. Dr.Chichi

  WAZIRI WA AFYA : DMO Musoma Vijijini ni Jipu, anadhoofisha vituo vya afya, anawanyonga wafanyakazi!!!!!

  hela za chanjo ziliingizwa lini?walikuwa na vifungu vya kutolea?usimlaumu kwa usilolijua...nadhani wilaya zote ndio zinaanza kulipa posho za vikao na za zoezi baada ya kuwekewa vifungu na Tamisemi....hilo la chf sijui lakini kama meananchi hudhuria hata kikao kimoja cha full council na utoe...
 7. Dr.Chichi

  Swali kwa Walevi

  aisee huko uswahilini unapoishi nakushauri uhame maana inaonekana unakutana sana na walevi wa local brew...nigonge zangu nyagi au kvant halafu nikakojoe choo kinuke??
 8. Dr.Chichi

  Waliozikwa miaka 1 000 000 iliyopita wako wapi?

  Write your reply...ndio tunawatumia leo kujaza mafuta kwenye magari na gesi asilia
 9. Dr.Chichi

  Bodi ya mishahara fanyeni haraka kazi mliyopewa.

  just thinking outside the box...hivi daktari aliyeajiriwa bima kukuagua madai ya bima na yule wa kwa ded anayepasua daily na kujirisk kujichoma sindano au kujiambukiza kwa bahati mbaya,who is more at risk?
 10. Dr.Chichi

  Mrejesho: Nataka nifanye maamuzi magumu ya kuachana na mke wangu!

  miye wangu mpaka namba kumi katimiza...next week nasepa kimya kimya na document zangu na kitanda tu,mtoto nimeshampeleka boarding.vitu vingine ntanunua tu upya.Eminem aliimba..... I got a wife that's determined to make my life living hell, But I handle it well, given the circumstances I'm dealt...
 11. Dr.Chichi

  Chondechonde; Fungeni mashoga lakini madada poa tuachieni

  Na wasagaji waachwe....threesome zinatuhusu he he he
 12. Dr.Chichi

  RC wa Iringa kafanya madudu gani?

  Kwa haraka haraka unaweza ukadhani hivyo...kumbuka yeye ni referal hospital na ana wagonjwa wengi kuliko uwezo wake.wagonjwa wenye magonjwa simple yakutibiwa hata level ya dispensary mtu anamleta hapo.tujifunze kutoka muhimbili...nenda bila referal na mtoto au mzazi uone utakavyolipishwa
 13. Dr.Chichi

  Songea: Daktari agoma kumtibu mgonjwa hadi umeme uwake kwanza

  Mimi umeme ukikata mgonjwa ntakayemhudumia ni mzazi tu maana labour ikianza hawezi jizuia....wengine watanisamehe kwa kweli maana waweza dhani unaokoa kumbe ikawa majanga
 14. Dr.Chichi

  Kiwango cha maambukizi ya Malaria chashuka kwa asilimia 50

  Ipongezwe wizara kwa kubuni tools za MSDQI...zimesaidia kutokomeza clinical malaria cases.sio kila homa ni malaria
Top Bottom