Recent content by Dr Chi

  1. Dr Chi

    A woman compassion

    Someone once said, “Men give each other insults they don’t mean; women give each other compliments they don’t mean.” I love this quote, as I have existed in both male and female circles and I can tell you that female circles are FAR more vicious and critical than male circles. Men will call...
  2. Dr Chi

    Sijafanya kitu chochote cha maana katika maisha yangu na nina umri wa miaka 32. Je, hii ni kawaida?

    Hakuna kitu katika maisha kitakachobadilika hadi tubadilike sisi wenyewe. Kulaumu hali, watu wengine, au hata bahati mbaya kunaweza kuonekana kuwa sawa kwa sasa, lakini huku kunatuacha bila nguvu. Unapoelekeza kidole chako kwa mtu mwingine kama sababu, unampa udhibiti wa maisha yako kwa nguvu...
  3. Dr Chi

    Mastering Medicine Identification by Suffixes!

    Beta blockers example Propranolol, Atenolol and Metoprolol
  4. Dr Chi

    Mastering Medicine Identification by Suffixes!

    Whether you're a pharmacy student, healthcare professional, or just someone keen on understanding your prescriptions better knowing medicine suffixes can make a big difference. Check out this quick reference guide on how common drug suffixes help identify their therapeutic uses. These suffixes...
  5. Dr Chi

    Niulize, Nipongeze, Nikosoe, Nishauri

    Swali tunaweza kuonana na kubadilishana mawazo siku uko na nafasi kama itakupendeza.
  6. Dr Chi

    Forum maalum kwa wakongwe wa JF

    Sisi wa juzi tukae pembeni
  7. Dr Chi

    Waraka wa PASAKA: Kwenu Vijana wa Ovyo, Lini 'Mtafufuka' Kama Bwana Yesu?

    Hakika umenena Mkuu ni wakati sasa tuamke kulalamika na kulaumu wengine kwetu vijana hakujawahi kubadilisha chochote na hakutabadilisha.
  8. Dr Chi

    Baadhi ya Makosa Ambayo Watoto wa Zamani Tulikuwa Tukila Bakora.

    Tunaenda katika kizazi ambacho watoto ni wagonjwa kuliko wazee kwenye usafiri wa uma wazee watanyanyuka kupisha watoto wakae
  9. Dr Chi

    Baadhi ya Makosa Ambayo Watoto wa Zamani Tulikuwa Tukila Bakora.

    Kizazi hicho mpaka na wa leo ndo kizazi kile kisichohoji saana wala kuleta utata mwingi ukilinganisha na kizazi hiki Cha kuanzia 92
  10. Dr Chi

    Baadhi ya Makosa Ambayo Watoto wa Zamani Tulikuwa Tukila Bakora.

    Kama nakuona vile ulivyojifanya Huna machozi ukapigwa ulie na ulipo Lia ukapigwa zaidi unyamaze hahaha
  11. Dr Chi

    Baadhi ya Makosa Ambayo Watoto wa Zamani Tulikuwa Tukila Bakora.

    Ilikuwa ni kupigwa kupigwa kupigwa yaan kipigo kilikuwa hakikwepeki sijui kama shibela aliikuta hiyo.
  12. Dr Chi

    Baadhi ya Makosa Ambayo Watoto wa Zamani Tulikuwa Tukila Bakora.

    Na kwa kiasi chake walifanikiwa wakazalishwa kondoo wengi wa .....
  13. Dr Chi

    Baadhi ya Makosa Ambayo Watoto wa Zamani Tulikuwa Tukila Bakora.

    Baada ya miaka nasi tutazeeka je tutakuwa kama wazee wale au tuzee twa sasa wakunyumba.
Back
Top Bottom