Recent content by Dr. Chapa Kiuno

  1. Dr. Chapa Kiuno

    Lady JayDee vs Mwana FA

    ...words!
  2. Dr. Chapa Kiuno

    Milard Ayo unapotosha umma! Huo ni uwongo uliokubuhu!

    Hapa mkuu umenena...! Hivyi katika dunia ya leo kuna mtu anaweza kukodisha ukumbi mkubwa vile na tena Bongo alafu achukue watu 400 tu!? Yule naye kaanza kuharibiwa na Clouds Fm... Ama kweli jamaa wa pale wanajua kuwageuza wasafi kuwa wachafu... Hata wewe Millard....!!!!???
  3. Dr. Chapa Kiuno

    Lady JayDee vs Mwana FA

    hahahaa... neno mkuu!
  4. Dr. Chapa Kiuno

    Rwanda wamefikia hapa!?

    Tanzania inaanza kuonja joto ya jiwe kwa kimbelembele chake. Hivi karibuni rais Jakaya Kikwete alipayuka kuwa imla wa Rwanda Paul Kagame ajadiliane na waasi wa FDLR walioko kwenye misitu ya DRC. Rwanda kwa kutumia vyombo vyake vya habari hasa gazeti la New Times wameamua kumvua nguo Kikwete...
  5. Dr. Chapa Kiuno

    ESET NOD32 Antivirus

    Shukrani mkuu.........
  6. Dr. Chapa Kiuno

    Wote wanaoipinga redio ya watu claus fm wana chuki binafsi

    Mkuu, bila shaka huyu mkuu wake atakuwa yuko aware na hata jina atumialo... KATUMWAAA....!
  7. Dr. Chapa Kiuno

    ESET NOD32 Antivirus

    Wadau, naombeni msaada wa kupata activation key ya hiyo anti virus... aksanteni.
  8. Dr. Chapa Kiuno

    Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

    Ninachokiona mimi toka kwa Ruge ni kwamba kwanini aende kuongelea Shutuma zake kwenye Radio yake ya Clouds tena kwenye kipindi cha Power Breakfast na sio kwenye Ukumbi wa Habari Maelezo? 1.Anaogopa maswali ya waandishi wa habari? 2.Anajua jamii itafahamu uhalisia wa malalamiko dhidi yake...
  9. Dr. Chapa Kiuno

    kivumbiiii

    ..... Swali zuri!
  10. Dr. Chapa Kiuno

    Kosa la nani hapa...?

    Bongo ss mambo c mambo,,,,,
  11. Dr. Chapa Kiuno

    Kumekuchaaaaaa....!

    Katika hali ya kushangaza, binti mmoja maarufu kwa jina la Hilda amejitokeza hadharani kupitia facebook yake na kudai kuwa yupo tayari kugawa penzi kwa diamond hata bure ili naye ajionee kinacho wafanya wanawake wenzie wamgombanie... Huu ni ujumbe wake "Hey...
  12. Dr. Chapa Kiuno

    January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!

    Nakubaliana na wewe Mkuu but i guess the reason is simple.... wanambeba huyo koz yuko kwenye wizara inayowalenga wao.
  13. Dr. Chapa Kiuno

    Huu NDIO MWONEKANO MPYA WA SHILOLE

    Simuoni Timbulo humu....
  14. Dr. Chapa Kiuno

    Mboni samuel etoo masimba!!!!!!

    Alaaaah........
Back
Top Bottom