Recent content by dphilly

  1. D

    JamiiForums Tanzania Sina amani wala furaha kwenye ndoa yangu, Nataka niondoke nimuachie kila kitu

    Vipi kama ukiondoka ndio ikawa majonzi makuu kwa wanao badala ya furaha
  2. D

    JamiiForums Tanzania Sina amani wala furaha kwenye ndoa yangu, Nataka niondoke nimuachie kila kitu

    Iyo furaha unayo itafuta ambayo huipati kwenye familia yako binafsi jua itakucost one day coz inaonyesha wazi sio mpango wa Mungu jaribu kusali sana umuulize Mungu yeye alie kupa familia hiyo
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

    Sio kupunguza bali ni kuacha kabisa huo uasherati kama unataka oa, au olewa tulien ndan
  4. D

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Namachicha john
  5. D

    JamiiForums Tanzania Habari humu

    Mgeni wenu nimefika
  6. D

    JamiiForums Tanzania Crazy things you did in secondary school

    Kuchelewa skonga afu kujificha kwenye mahindi, sjawah fanya morning speech always at toilet [emoji23][emoji23]
  7. D

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Uwiiii
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

    Hapo kikawaida lazima mtu ahisi humpend kwa dhat cuz uwivu uashiria mapenz sometimes
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

    Duh jitahid tu coz wanawake wanapenda kubembelezwa
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

    So unatimu ya mpira
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

    Mm udhaifu wangu nakua too caring halafu napenda usawa kwa kila kitu , kibaya naweza kuumia rohon kwajambo fulan lakin sisemi na ukaniona nipo sawa kumbe nimeoza kwa maumivu hili linanisumbua sana
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wamepoteza sifa japo wanatamani kuolewa

    Jaman nmechekaaa
  13. D

    JamiiForums Tanzania Sitongozwi, nini tatizo?

    Mm nadhan kikubwa u should trust God, that all umri wako bado unalipa usiwe na haraka mamyy, sometimes huwa tunadhan kuwa kila kitu kinacho tokea kwa wengine basi na sisi kiwe hvyo hvyo , kama rafiki au ndugu yako kawahi kutongozwa basi usitegemee na ww iwe hivyo huwez jua Mungu kakuepusha na...
Back
Top Bottom