mkuu fungua macho haraka upesi, women will always remain women,kumbe tuko wengi tuu tunao umizwa na hawa wake,mimi pia nafanya kazi nchi ya nje ,alipo aanaza tu mambo na hela na kulalama kuwa haitoshi sikuchukuwa muda tunavyo ongea hivi sasa mimi nimeamua kumukatia msaada hata wa dola moja...