Recent content by Doxael

  1. Doxael

    JamiiForums Tanzania Pombe sio chai: Watu 10 wafariki na wengine kulazwa baada ya kunywa gongo Jijini Dar. Waliokufa watambulika

    Idadi ya waliokufa kwa Gongo yaongezeka, zaidi ya watu 10 wamefariki dunia tena, Polisi Na Familia ya marehemu yataja chanzo. Imesemekana kuwa viongozi wa Mtaa nao ni wanywaji wa Gongo hiyo kali Na ndio maana imekuwa vigumu kudhibiti utumiaji wa Gongo hiyo. Habari zaidi tizama hiyo video
  2. Doxael

    JamiiForums Tanzania Oliver Mtukudz bado yupo hai atoka na kibao kingine kinacho enda kwa jina la hear me Lord

    Na huo wa Bibi Kidude ni wa lini? Au mliimba naye?
  3. Doxael

    JamiiForums Tanzania Oliver Mtukudz bado yupo hai atoka na kibao kingine kinacho enda kwa jina la hear me Lord

    Wengi wamekuwa na mashaka kuwa Oliver Mtukudzi amefaliki Dunia lakini hizo zote zilikuwa ni hisia tu baada ya Mwana Muziki huyo mzaliwa wa Nchi ya Zimbabwe kukaa kimya kwa muda mlefu na huku kukiwa na minong'ono ya hapa na pale kuwa ana ugonjwa Hatari sana. Hivi karibuni Oliver Mtukudzi...
  4. Doxael

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyuki wavamia wana Jubilee na polisi supreme court

    Ikinyunyi nimependa hilo jina bilashaka ninajua maana yake, Tehe tehe tehe tehe eeeehhh.
  5. Doxael

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyuki wavamia wana Jubilee na polisi supreme court

    Yaani ni Bonge la Bomu Hatari mnooh!
  6. Doxael

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyuki wavamia wana Jubilee na polisi supreme court

    Umenichekesha kweli kweli, eti Bomu letu!!!
  7. Doxael

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyuki wavamia wana Jubilee na polisi supreme court

    Mimi nashukuru kwa kunifumbua macho[emoji102] [emoji120] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji120]
  8. Doxael

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyuki wavamia wana Jubilee na polisi supreme court

  9. Doxael

    <iframe width="640" height="360" src=""frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
  10. Doxael

Back
Top Bottom