Recent content by dovera

  1. D

    Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    Mi nipo kwenye intake ile waliyotangaza mara ya kwanza
  2. D

    Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    Jamani kunayeyote akatuhabarisha kipi kinaendelea huko mana tym ishasogea and only 15 days remained kama walivyokua wameahidi.
  3. D

    Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    wamemwambiaje hao jamaa. Au ndo kapata shavu nn
  4. D

    NBC Bank Tanzania

    sasa na sisi tulio fanya interview hapo head office mwezi wa 1 kuna matumaini au ndo magumashi
  5. D

    Msaada wana JF

    Nsaidieni jamani natafuta tempo or permanent job. Nimehitimu dip ya finance & banking toka chuo cha Uhasibu Arusha.
Back
Top Bottom