unajua huyu mwanasheria wa ccm kweli ni kilaza. nimehanga anadai eti mda muafaka haujafika kwa wakuu wa mikoa na wilaya kutokuwepo ktk kamati ya nidham ya mahakim. kweli ccm ni vilaza sana
kwa kweli kila cku iendayo kwa mungu huwa nawaza ni lini ccm itajimeza yenyewe?cs kile ilichokuwa ikijaribu kufanya 2010 kurudi nyuma ijue mwisho wke ndo ulikuwa miaka hiyo. hakika nakwambia ha2wez endelea kuona ujinga unaofanywa na wa2 wachache kwa manufaa yao binafsi. unajua ccm inaogopa...
mi si mtetezi wa hao mafisadi maana nipo tofauti nao sana kwa jinsi uamuzi wa mwema na hao mafisadi wengine mimi naunga mkono maandamano ya chadema coz wanaonesha uzalendo mkubwa kwetu sisi watantania,na hoa waliokufa huko Arusha ni wazalendo tena lazima wakumbukwe na hao majerui Mungu...
huo ni ukweli lakini wao hawamuogopi Mungu,kwa maovu wanayofanya utadhani inchi wameumbiwa wao,mauaji ya watu wasio na hatia yanafanyika,nadhani sasa CCM imefurahia POLISI WANAVYOFANYA VURUGU KWA WANAINCHI,AU WANATAKA YA KENYA YAJE HAPA?Serikali jiulize.CHADEMA WAPO SAHIHI HEBU TUWATIE MOYO WA...
YEAH;WENGI TUMESIKITIKA KWA KITENDO HICHO,POLISI HIYO SO HAKI..TANZANIA CHADEMA WANATUPA HISIA ZA UHUNGU JINSI SERIKALI ILIVYOOZA,,,,,,,,,,,,,,,,,:A S 465::sleep:
VIP NDUGU ZANGU WATANZANIA POLENI NA MIIBA KUTOKA KWA SERIKALI YETU.SAFARI NDEFU LAKINI TUTAFIKA WENGI WETU WAKIWA WALEMAVU WA MATESO YA DOWANS NA GHARAMA ZA UMEME JUU,SIJUI HASA SISI WASAKATONGE...........................:mad2:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.