Recent content by Double M

  1. D

    Niko njiapanda Sijielewi Jamani

    Ni kweli, kusahau huwa ni issue lakini, ngoja nikuulize swali la kizushi..... Ulishawahi kufiwa na mtu wako wa karibu, e.g. Baba, Mama, Dada, Kaka, au mtu mwingine yeyote yule aliyekuwa muhimu sana ktk maisha yako? Kwa kawaida watu huwa tunalia sana, tunaomboleza kwa kipindi kirefu na hata...
  2. D

    Mama Ngoma hospital wanatibu wagonjwa au wanafanya biashara?

    Wadau, habari zenu bana? Mimi nina facts lukuki kuhusiana na Dr. Ngoma na washirika wake. Mnapolalamika mbona hatua za kisheria hazichukuliwi dhidi yao mnasahau kuwa hii serikali inaendeshwa kishkaji! Ukiwa unafahamiana na wakubwa, kama Dr. Ngoma alivyo kwa kutibu viongozi wengi ambao saratani...
  3. D

    Mama Ngoma hospital wanatibu wagonjwa au wanafanya biashara?

    Wadau, nina mengi sana tena nikiwa na ushahidi wa kutosha unaohusu wizi na ubadhirifu wa fedha na mali za serikali pamoja na washirika wa maendeleo unaofanywa na "Uwili Mtakatifu", yaani Dr. Ngoma na Msemo. Tatizo ni mtandao. Kumbukeni jamaa ndio "ma-expert" wa kansa hapa nchini, ugonjwa...
  4. D

    Mrithi wa REGIA ni Cecilia Paresso

    Politicians are all the same, JK (CCM), Mbowe (CHADEMA), Lipumba (CUF), Mbatia (NCCR-Mageuzi), Cheyo (UDP), Mtikila (DP), Jahazi Asilia, (Kuga) APPT Maendeleo, etc.. They are the same passengers in different vehicles! So it is a technucal mistake to expect miracles from any of these for the...
Back
Top Bottom