Mko sawa nasio busara kwa alicho kifanya waziri wa elimu namuomba waziri ajue serikali ya magufuri ni serikali ya watu wachini kwahiyo anatakiwa amalize mgogoro haraka na wanafunzi awaludishe chuoni hawana kosa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.