Njombe
Mzee Arusha Nziku (75) mkazi wa wilaya ya Wanging’ombe mkaoni Njombe,amekutwa amefariki nyumbani kwake huku akiwa amefungwa kamba ndani ya nyumba yake kuonyesha emejinyonga.
Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamisi Issa amesema waliotekeleza mauaji hayo walitumia kamba kumfunga na...
Licha ya serikali ya awamu ya tano chini ya Rais DR.John Pombe Joseph Magufuli ya kuhakikisha inatimiza ndoto za kuifikia Tanzania yenye uchumi wa viwanda, huko mkoani Njombe wafugaji wa vijiji vya kilenzi na Uwemba wameulalamikia uongozi wa kiwanda cha maziwa Njombe kwa kukwamisha maendeleo...
Katibu wa siasa na uenezi CCM mkoa wa Njombe Erasto Ngole,amewataka wanafunzi wa vyuo,vyuo vikuu pamoja na vijana kujitafutia mabadiliko na maendeleo badala ya kuisubili serikali.
Ngole ameyasema hayo alipokutana na wanafunzi wa vyuo kupitia idara ya vyuo na vyuo vikuu chini ya umoja wa vijana...
Wagongaji wa Kokoto katika jiwe la Gangalyandefu lililopo Sido Mjini Njombe wameiomba Serikali Kuwapa tafsiri sahihi juu ya nani anastahili kulipia vitambulisho vya Mjasiliamali vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na kusumbuliwa wakitakiwa kuchukua vitambulisho...
Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kimetoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli katika maeneo mbali mbali ikiwemo barabarani pamoja na maeneo ya mikutano mara baada ya kiongozi huyo atakapowasili kwa ziara yake ya...
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John pombe Magufuli,anatarajia kufanya ziara ya siku Tatu mkoani Njombe baada ya kutokea mkoani Ruvuma na kukagua baadhi ya miradi mikubwa ikiwemo ya barabara na hospital.
Akizungumza na vyombo vya habari ofini kwake, mkuu wa mkoa wa Njombe...
Njombe
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,anatarajia kufanya ziara ya siku mbili mkoani Njombe baada ya kutokea mkoani Ruvuma na kukagua baadhi ya miradi mikubwa ikiwemo ya barabara na hospitali.
Akizungumza na vyombo vya habari ofisini kwake, mkuu wa mkoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.