Recent content by Dorin Kaaya

  1. Dorin Kaaya

    GE2020 Nini kitangulie, haki au amani?

    Umeielezea vizuri
  2. Dorin Kaaya

    GE2020 Nini kitangulie, haki au amani?

    Je bila Aman Kuna haki inaeza kutendeka maana moja laweza kuchelewa
  3. Dorin Kaaya

    GE2020 Nini kitangulie, haki au amani?

    Binafsi nilipoandika uzi wa Tanzania Kwanza watu walinishambulia na katika kunishambulia waliweka maneno HAKI na AMANI. Hivi nini kitangulie, haki au amani? Kwa sababu penye vurugu hata hiyo haki haiwezi kupatikana.
  4. Dorin Kaaya

    Watanzania tuchague moja, Tanzania kwanza au siasa kwanza

    Kwa hiyo umeona Mimi ni kada was CCM , haya ahasante ila nlichoongea ni point
  5. Dorin Kaaya

    Watanzania tuchague moja, Tanzania kwanza au siasa kwanza

    Wana JF, Nimeandika uzi wa TANZANIA NI BORA KULIKO SIASA Nimepata reply nyingi na niseme wazi kuwa watu wengi wanaonekana kuichoka amani kwani ndani ya Tanzania wana-reply kwa hasira na chuki. Leo naomba TUCHAGUE lipi bora, Tanzania kwanza au siasa kwanza. Tukichagua Tanzania kwanza nadhani...
  6. Dorin Kaaya

    Tanzania yetu ni zaidi ya vyama vya siasa

    Chief Kwanza unaonekana unahasira tofauti na mimi mi naiona Tz siyo hao unaowasema yaani sijui tunaishije kama hakuna aman
  7. Dorin Kaaya

    Tanzania yetu ni zaidi ya vyama vya siasa

    True , hata baada ya uchaguzi nawambuaga watu Mimi , hivi hata wakati hakuna mauchaguzi haya
  8. Dorin Kaaya

    Tanzania yetu ni zaidi ya vyama vya siasa

    Amani inanajisiwa kutokea kwenye mawazo ya watu , watu wanaona Bora tuvurugane kuliko , kutulizana na ndo maana nkawaambia Tanzania ni zaidi ya SIASA, ilium wa na watu wake kabla ya SIASA enzi za machifu akina MKWAWA , RUMANYIKA N.K Tanzania ilikuwepo na mpaka leo ipo sasa kwanini tuipoteze...
  9. Dorin Kaaya

    Tanzania yetu ni zaidi ya vyama vya siasa

    Sisemi nabeza siasa ila siasa zisituletee kukosa raha na kuchukiana na kuuana
  10. Dorin Kaaya

    Tanzania yetu ni zaidi ya vyama vya siasa

    Nimetumwa na Nani unaona pumba hizo ni point , acha matusi jibu kwa hoja
  11. Dorin Kaaya

    Tanzania yetu ni zaidi ya vyama vya siasa

    Wana Jf , Nimeangalia Tanzania na watanzania wanavyoishi kwa amani nikaamua nikuandikie wewe unae taka kuichezea amani ya nchi kuwa Tanzania ni ZAIDI ya vyama vya Siasa , Tanzania ilikuwepo kabla ya vyama vya Siasa kuwepo kimaanisha aridhi ya Tanzania na watu wake viliumbwa na muumba hapo...
Back
Top Bottom